Said Fella amedai kuwa uhusiano wa siku moja na tena kwenye Instagram kati ya Aslay na Ruby ulikuwa kiki tu.Akiongea na 255 kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, Fella alisema
kuwa Aslay alitumia njia hiyo ili kupima mafuta kama kweli mashabiki wa
Yamoto Band bado wapo ama wameshawachinjia baharini.
Sikiliza hapa chini...
Sikiliza hapa chini...
Post your Comment



