Mawaziri wa mambo ya nje wa Tanzania na Rwanda leo wametiliana saini katika Muhutasari wa kikao cha tume ya kudumu ya pamoja kilichofanyika Rwanda.Mawaziri hao wametiliana saini mbele ya Rais John Magufuli wa Tanzania na Rais wa Rwanda Paul Kagame
BOFYA HAPA:
Post your Comment



