Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Mhe.Zitto Kabwe Afunga Ndoa jana Zanzibar

Mhe.Zitto Kabwe Afunga Ndoa jana Zanzibar

Written By Vuvuzela on Friday, July 15, 2016 | 7:02:00 AM

Ni July 14, 2016 ambapo Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ameingia kwenye headlines za kuuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyika Zanzibar.



Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts