Jana Jumapili Mama mzazi wa msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz
amempost Wema Sepetu ambaye alikuwa ni girlfriend wa zamani wa Diamond
Platnumz kwenye page yake ya Instagram na Kuandika yafuatayo:
kendrah_michael
"Uzalendo kwanza..umependeza sanaa mamy akee"
Baada ya mama Diamond kupost alifuatia Romy Jons ambaye ni kaka yake na
Diamond Platnumz, hiyo inaonesha kuwa upande wa Diamond Platnumz na Wema
Sepetu hakuna tatizo kama ambavyo baadhi ya watu walikuwa wanaweza
kuhisi.
Picha aliyopost Rommy Jons
Post your Comment


