Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Roma na Kala Jeremiah wamtembelea Lowassa

Roma na Kala Jeremiah wamtembelea Lowassa

Written By Vuvuzela on Friday, July 15, 2016 | 9:17:00 AM


Rapa kala Jeremiah na Roma Mkatolikia walikuwa wakichota busar za Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa walipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa wasanii hao, walifanya mazungumzo na Lowassa ingawa hawakueleza walichozungumza na mwanasiasa huyo mkongwe aliyegombea urais mwaka jana kwa tiketi ya Chadema akiungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa.

“VIJANA WANAPOKUTANA NA MZEE. #MUNGU IBARIKI TANZANIA,” aliandika Kala Jeremiah kwenye picha waliopoz na Lowassa.



 Naye Roma Mkatoliki  amepost picha na kuandika #DoneTheMeeting With Hon. #E_LOWASA. 


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts