Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Madalali wa NHC wavamia ofisi ya gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Freeman Mbowe na Kuanza Kutoa Vitu Nje

Madalali wa NHC wavamia ofisi ya gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Freeman Mbowe na Kuanza Kutoa Vitu Nje

Written By Vuvuzela on Thursday, September 1, 2016 | 10:22:00 AM

Madalali wa NHC wamefika katika ofisi za gazeti la  Tanzania Daima asubuhi hii na kuanza kutoa vifaa ofisini kutokana na deni la pango la mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe.

Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, Neville Meena amesema wako kwenye msukusuko mkubwa lakini wanafanya jitihada za kukabiliana na hali hiyo ili kuhakikisha uzalishaji wa gazeti unafanyika kama kawaida.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts