Msanii Witnesz Kibonge Mwepesi na Ochu Sheggy wameachia video mpya ya
wimbo unaitwa “Jirani”, wakiwa wamewashirikisha wasnii Snuara na Mzee
Yusuph. Video imeongozwa na kampuni ya Dreams multimedia studio under
visualizer creator Pro.
Post your Comment



