Leo
October 31 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli aliondoka nchini kuelekea Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya
Kiserikali ya siku mbili nchini humo kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya
Kenya Uhuru Kenyatta.
Rais Magufuli amewasili Nairobi kenya kwa ziara hiyo na amelakiwa na mwenyeji wake Rais uhuru kenyatta.
Post your Comment