AGE………………18+
WRITER…………EDDAZARIA G.MSULWA
WRITER…………EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA
Rahma akazidi kuongeza kasi ya mashambulizi ila kutokana nimesha mzoe hakunitisha sana zaidi ya mimi kuzibana sehemu zake ambazo siku zote nikimbana huwa niamshinda kwenye mechi zake.Galfa mwili wa Rahma ukaanza kukakamaa huku macho yake yakibadilia na kiini cheusi kikapotea na kukabaikia kweupe tu huku mapuvu yakiaanza kumtoka mdononi kitendo kilicho anza kunichanganya kwani tangu nimjue Rahma sikuwahi kumuaona akiwa katika hali kama hii
ENDELEA
Hali ya Rahma ikazidi kuwa mbaya kitandani na kunifanya nizidi kupagawa hata sikujua nifanye kitu gani kitakachoweza kumrudisha Rahma katika hali yake ya kawaida.Nikasimaa na kuiokota suruali yangu chini na kuivaa kisha nikuitoa simu yangu mfukoni na kukuta haina chaji ikanilazimu kuitafuta simu ya Rahma na ndani ya chumba changu haikuwepo ikanilazimu kwenda sebleni na kuikuta juu ya meza ya chakula nikaichukua na kukuta meseji moja na kwabahati mbaya nikaifungua
‘WEWE RAHMA UPO WAPI TUNAKUSUBIRIA NYUMBANI KWENYE KIKAO HUYU MUME WAKO AMESHA KUJA’
Nikajikuta nikiirudia rudia meseji yake kuisoma kiasi kwamba nikajikuta nikikaa juu ya meza vizuri na kwa haraka namba iliyo tuma meseji ninaifamu ni ya mama yake ambayo alinipa siku moja shuleni.Nikabaki nikiwa nimetulia zaidi ya dakika tano huku nikijikuta rohoni mwangu nikijiwa na wivu mkali ulio andamana na hasira kali,Nikastuka simu yake iikita na kuona ni namba ya baba yake ikiingia na kubaki nikiwa nimeitazama kiasi kwamba nikajikuta nikianza kutetemeka kwa woga,Hadi simu inaka nikajikuta nikiwa kimya nisijue ninafanya nini
Wazo la kumpigia Halda likanijia kichwani na nikaanza kuifungua simu ya Rahma sehemu alipo hifadhi majina ya watu mbalimbali na kujikuta zaidi ya dakika kumi nikilitafuta jina la Hilda ila sikulipata kwani sikujua ameliandika vipi ndani ya simu yake.Nikasikia honi ikipiga getini na kwaharaka nikajua atakuwa ni Hilda ambeye ameondoka nyumbani kwetu muda si mrefu na kwa haraka nikanyanyuka na kutoka nje na hatua ya kwanza nikachungulia dirishani kutazama ni nani anaye piga honi na kujikuta nikistuka na kajasho kembemba kakianza kunienda mbio,hii ni baada ya kuliona gari jeusi anina ya Land cruser likiwa limesimama nje kwangu huku likiwasha taa zote mbili
“Nani huyu?”
Nilijiuliza mwenyewe kana kwamba kuna mtu pembeni yangu ninaye zungumza naye kumbe nipo peke yangu.Nikamshuhudi Hilda akishuka ndani ya gari hilo na kuanza kupiga hatua za haraka kuja kwenye geti langu kidogo moyo ukanipata matumaini na kujikuta nikulifungua geti na Hilda kwa ishara akamruhusu dereva wa gari kuliingiza ndani na nikabaki nikiwa ni nimeduwaa hadi gari linasimama akashuka jamaa mmoja mweusi kiasi aliye valia vizuri na kujikuta nikirudi katika hali ya kawaida baada ya jamaa kunisalimi
“AHaaa salama tuu kaka karibuni”
Nilizungumza huk u nikiliegesha geti langu na endapo kutatoke ishu yoyote niweze kukimbia kuepukana na msala uliopo ndani
“Eddy huyu anaitwa Rashid ni dereva wao Rahma”
“Ahaa karibu ndugu”
“Asante vipi huyo bibie yupo ndani?”
Swali la dereva nikajifanya kama sijalisikia na kuongoza ndani huku wao wakinifwata kwa nyama na mimi moja kwa moja nikaingia ndani na kuukuta Rahma akiwa ametulia huku mapigo yake ya moyo yakienda taratibu kiasi kwamba nikabaki nikimtazama kwa muda.Nikasikia sauti ya Hilda ikimuita Rahma huku akionekana kuja kwenye chumba chetu ikanilazimu kunyanyuka kitandani kwa haraka na kwenye kuufungua mlango na kumkuta akiwa amesimama mlangoni kwetu
Muambie huyo Rahma kwao wanamsubiria sana na ninampigia simu hapokei”
“Kwani kwao kuna nini?”
“Mimi wala sijui ila muambie kuwa kwao wanamsubira tena huyo dereva alitumwa kuja kwangu kumchukua kwa maana nilitoka naye nyumbani kwao”
Nikabaki nikimtazama Hilda huku nikikosa kitu cha kuzungumza hadi akaanza kuhisi kitu na macho yake yakanitazama kwa muda
“Eddy mbona una wasi wasi?”
“Eheee?”
“Mbona una wasi wasi?”
“Rahma ana umwa”
“Nini?”
“Rahma naumwa na hapa nilipo sijua ni uginjwa gani?”
“Mungu wangu yupo wapi sasa?”
“Humo ndani”
Halda akausukuma mlango na kumkuta Rahma kitandani akiwa amelala na kumshuhudia akianza kumwaga machozi na taratibu sauti yake yakulia ikaanza kuongezeka
“MIMI NINAWAAMBIA NINI WAZAZI WAKE JAMANI......EDDY UMEMFANYA NINI MTOTO WA WATU”
“Usilia sasa kwa sauti”
“Eddy acha nilie bwana umefanya nini mtoto wa watu mbona mimi sielewa?”
“Sasa wewe ukilia unadhani kutakalika humu ndani”
Nilizungumza huku nikianza kumvisha nguo Rahma na jasho jingi likazidi kunitiririka mwilini mwangu kiasi kwamba nihata uvishaji wangu nikajikuta mara kwa mara nikikosea kumvisha hadi ninamaliza kumvisha ni zaidi ya dakika kumi.
“Eddy Rahma ndio huyo amekufa unadhani mimi nitafanyaje na jaki ya MUNGU wazazi wake wakisema ni nani aliye fanya hivi mimi ninakutaja”
“Sasa hivo utakuwa unaharibu”
“Sio kuharibu”
“Kweli vile ni lazima niwambie na nitawaleta hadi hapa kwako”
Nikatoka sebleni na kumkuta dereva akiwa amesimama akionekana kama kusikilizia mazungumzo ambayo tunazungumza mimi na Hilda
“Kaka vipi kuna kitu gani kimetokea?”
“Ndugu yangu wewe acha tu kwa maana kuna ishu imetokea......Rahma ametokwa na mapovu na mwili wake umekakamaa sasa Hilda analia lia si unajua tena maswala ya wanawake”
“Haaa huo ni ugonjwa wake ambao humtokea kila baada miezi sita”
“Kweli?”
“Ndio”
“Ngoja basi nimlete huku”
“Usimtoe ngoja nimpigie simu mama yake kwa maana ugonjwa wake huu endapo utampata sehemu alipo hapaswi kutolewa kwenye eneo alilopo na kuna shangazi yake ni mganga wa kihindi na kwa bahati nzuri yupo kwao wamerudi naye huwa ndioyo anamtibu Rahma”
“Hembu ngoja kwanza unataka umesema kuwa hapaswai kutibiwa sehemu yoyote zaidi ya sehemu alipo pwatwa na ugonjwa huo?”
“Ndio na mukimuhamisha tu lazima anafariki?”
“Mungu wangu.....wewe umejuaje?”
“Ndugu ni mwaka wa 15 ninafanya kazi kwa kina Rahma na usinione hivi ni kijana ila umri wangu ni mkubwa na Rahma tangu yupo mdogo ninashuhudia matibubu yake yanakuwa hivyo na huo ugonjwa ameridhi kutoka kwa mama yeke”
Nikajikuta nikijibwaga kwenye kochi huku nikihisi nguvu za mwilini mwangu zikiniishia kiasi kwamba nikabaki nikiwa sina la kuzungumza na nikamshuhudia dereva akipiga simu na kuanza kuzungumza na mama wa Rahma na akaanza kutoa maelekezo ya sehemy alipo kiasi kwamba nikabaki nikitetemeka na akakata simu na kunitazama
“Wamesemaje?”
“Wamesema kuwa wanakuja na sasa hivi....Ila si wanakujua wewe?”
“MIMI.....?”
“Ndio wewe?”
“AHhhhhhaaaa”
“Ohoo basi vyema ukawa makini?”
“Makini na nini?”
“Yule mzee hana utani na mtoto wake na huwa hapendi sana watu weusi japo mimi nimepata bahati ya kufanya kazi kwake ila hataki hata kuniona ninazungumza na mwanae”
“Mmmm sasa..?”
“Hakuna cha sasa”
Akili yangu ikazidi kuchanganyikiwa na kusimama huku mapigo ya moyo yakianza kwenda mbio na sikujua hata ni nini nifanya,Nikaingia ndani kwangu na kumkuta Hilda akiwa amekaa kitandani huku akiwa amemtazama Rahma huku akiendelea kulia na baada ya kuniona akanifwata na kuanza kunipiga kifuani
“Eddy wewe ni katili umemuua rafiki yangu kwanini.....?”
Sikutaka kumjibu Hilda na kitu chochota na kumsukuma pembeni na kufungua kabati langu na kuanza kutafuta nguo ya kuvaa na kwa kiwewe nikajikuta nikichukua vesti na kuvaa na kabla sijatoka nje nikastukia Hilda akinishika vesti niliyo ivaa na kuanza kunivuta
“Hapa Eddy na kuambia hotoke na nimesha mpigia baba na kaseme anakuja”
“Wewe nimekuambia niachie nitakubamiza”
“Eddy nipige niue mimi badi sikuuachii kwani ukinipiga leo ndio mwanzo”
Nikasikia honi getini zikipiwa na moja kwa moja nikajau ni wazazi wa Rahma na kwa haraka nikamsukuma Hilda na akadondoka chini na nikatoka ndani kwangu kwa haraka na kuufunga mlango kwa nje na kufika sembeli sikumkuta dereva na kwakupitai getini nikamuona dereva akijitahidi kufungua geti langu na gari moja ikaanza kuingia.Kwa haraka nikaingia jikoni kwangu na kumsikia Hilda akipiga makelele akiomba mkango kufunguliwa.
Katika sehemu ya juu ya jikoni kwangu kuna sehemu ipo wazi na kwaharaka nikapanda juu meza iliyopo jikoni na mikono yangu kuiingiza ndani ya sehemu hiyo na kujivuta kwa juu na nikafanikiwa kuingia ndani sehemu ya juu kwenye nyumba yangu japo kuwa kuna giza nikajipa moyo.Nikawasikia watu wengi wakiwa wanazungumza huku wakionekana kufuoka na kujiuliza maswali mengi.Nikasikia wakifungua mlango wa ndani kwangu na Hilda akaanza kuropoka kwa kutumia Lghaya kiarabu huku mara kwa mara akilitaja jina langu la Edd
“Atakuwa ametorokea wapi?”
“Jamani nipeni nafasi ya kumuhudumia mgonjwa na acheni kelele kwani hali yake si nzuri”
Nikasikia machekeche kama ya wauza karanga za ketembeza yakipigwa na mama mmoja akaanza kupaza sauti yake huku akionekana kama mtu anaye pandisha mashetani.Nikaanza kutembea taratibu huku nikikanyaga mbao za juu hadi kwenye sehemu ya chumba changu na kwa kupitia upenyo mdogo wa sehemu ilipo pitia feni la juu nikamuona Rahma akiwa amevuliwa nguo zake huku ndani ya ya chumba changu wakiwemo wamama watatu wa kiindi huku mmoja wao akiendelea kupiga machekeche yake huku kukiwa na vnyungu viwili vikiwa vinatoa moshi mwingi na kugundua harufu ya ubani.Akaanza kumchunguza Rahma hadi kwenye ikulu yake na kumshuhudia akipiga chafya nyingi huku akitoa makelele mengi kiasi kwamba nikaanza kutetemeka
“ALIKUWA NA MWANAUME”
Mama huyo alizungumza kwa sauti nzito ambayo ni ya kiume na sikujua ni jini gani lililo mpanda
“Huyo mwanaume ni wa aina gani?”
“HAAA NI MWAFRIKA ILA YEYE ANAWEZA KULETA MFARAKANO KATIKA FAMILIA YENU”
“Mfarakano gani mtukufu?”
“HHAHAAA YEYE ANAWEZA KUIFANYA FAMILIA YENU KUFILISIKA NA KUWA MASIKINI KABISA NA ISITOSHE RAHMA TAYARI AMAKIUMBA CHA HUYO MWNAUME TUMBONI MWAKE”
Moyo ukanipasuka na kwa haraka akili yangu ikapiga picha siku nikiwa gerezani kwani kitendo cha kumpa mwanafunzi mimba ni kifungo cha miaka 30 na mbaya zaidi mimi mwalimu sasa sijajua kama nitafungwa kwa miaka mingapi
“Mama wee kwanini huyu mtoto ameamua kunizalilisha kiasi hichi jamani ni nini jamani”
Nikajua mama anaye muhoji mganga huyo ni mama yeke Rahma na kujikuta nikizidi kumtazama kwa umakini na kila sifa aliyo kuwa nayo Rahma ameitoa kwa mama yeke
“USIPIGE KELELE NA ENDAPO MUTAKITOA HICHO KIUMBE BASI RAHMA MUTAMPOTEZA”
Mama Rahma akazidi kupaza sauti ya juu na kuuufanya mlango walio ufunga ukafunguliwa na akaingia mzee mwenye mwili mmkubwa na mama Rahma akanyanyuka na kwenda kumkumbatia mwanaume huyo na kuzungumza naye manneno ya kiarabu huku mara kwa mara mikono yake akimnyooshea Rahma aliyelele kitandani kama mtu aliye fariki huku mwili wake akiwa uchi kama alivyo zaliwa.
Gafla nikahisi kitu kiki nikuvutwa mguu kwa nyuma na nikageuza sura yangu nyuma kwa haraka kuangalia ni nini kilicho nigusa sikuona kitu cha aina yoyote na kujikuta nikitumia nguvu kujivuta mbele na kitu hicho kikaniachia na kustukia nikipoteza muhimili wa mwili wangu na kujikuta nikilala kwenye sehemu laini(signboard) ya juu kwenye chumba changu ambayo haiwezi kuhimili uzito wa mwili wangu na kujikuta nikipitiliza moja kwa moja na kuanguka chini ndani ya chumba changu na kutoa kishondo kizito
ITAENDELEA
Post your Comment