Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » HIFADHI YA TAIFA YA RUAHA IRINGA YAZIDI KUWAVUTIA WANAHABARI IRINGA

HIFADHI YA TAIFA YA RUAHA IRINGA YAZIDI KUWAVUTIA WANAHABARI IRINGA

Written By mpekuaji on Sunday, May 6, 2012 | 1:45:00 PM

Tembo anayesadikika kuwa mgonjwa akijikongoja katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa kabla ya kukutwa amekufa siku ya pili yake ,hapa ni enzi za uhai wake
Simba wakimla Tembo ambaye anasadikika kufa kwa ugonjwa usioambukiza zaidi ya simba 17 walikutwa eneo hilo
Simba wakiendelea kula mzoga wa Tembo
Simba akiwatazama wanahabari wa mkoa wa Iringa waliofika kutembelea hifadhi hiyo kama njia ya kuhamasisha utalii katika hifadhi za mikoa ya kusini mwa Tanzania ikiwemo hifadhi ya Ruaha Iringa
Ndege aina ya Tai wakisubiri Simba watoke katika mzonga huo ili nao washuke kufaidi

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts