Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Charity Food Products ya Mwanza Sophia Kagose (kushoto ) akionyesha mifuko ya dagaa waliokaagwa njisi walivyo sindikwa kwa utalaam katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja wa kampuni hiyo Favour Dietrich.
Adelina Aloyce ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya ADE FASHION Designer akiwaonyesha moja ya nguo zake wateja waliofika katika banda lake katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Equator Natural Cosmetics Mrs Liwa akiwaonyesha wateja wake waliofika katika banda lake jinsi ya kutumia Lotion ya kitanzania inayojulikana kwa jina Sanda Luwood, ambayo inatumika kwa kulainisha ngozi vizuri katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Kampuni ya Designer Glass Beads Febronia Mihuwa akimuonyesha Tula Mkemwa njisi ya kumechisha shanga ya shingoni na mkoba wakati alipotembelea katika banda lake katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Post your Comment