
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe, akizungumza na Waandishi wa Habari za Michezo wakati wa semina maalum na waandishi hao kuhusu uzinduzi wa Kampeni mpya ya Bia ya Kilimanjaro, inayokwenda kwa jina la 100% Tanzania Flava, iliyoandaliwa na kampuni hiyo leo kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya New Afrika, Jijini Dar es Salaam.Semina hii ilifuata baada ya kumalizika kwa semina ya Wahariri wa Habari za Michezo toka vyombo mbali mbali ambayo pia ilifanyika hapo mapema leo.

Mwanalibeneke Mie na Wanahabari wengine tukifuatilia kwa Makini Semina hilo iliyoendeshwa leo kwenye kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya New Afrika, Jijini Dar es Salaam.




Wanahabari toka vyombo Mbali mbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Post your Comment