Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » MLIPUKO WA BOMU WAJERUHI WATU 30 KATIKA JIJI LA NAIROBI LEO.

MLIPUKO WA BOMU WAJERUHI WATU 30 KATIKA JIJI LA NAIROBI LEO.

Written By mpekuaji on Monday, May 28, 2012 | 2:31:00 PM

Imeripotiwa kwamba zaidi ya watu 30 wako hospitali kutokana na kujeruhiwa kwenye mlipuko wa bomu Nairobi Kenya leo, ulipuaji huo wa bomu unaaminika kufanywa na kikundi cha wanamgambo wa Al Shabaab Somalia.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts