Mama mzazi wa Marehemu Steven Kanumba akifanya Eclusive interview na mwadishi millard na kuthibitisha kwamba bado mpaka sasa hakuna mali yoyote ya Kanumba iliyouzwa, hapo ni sebleni kwenye nyumba aliyokua akiishi Marehemu Kanumba.
Hili ni moja kati ya magari matatu aliyokua akiyamiliki Kanumba.
Hili pia ni gari lake jingine ambalo linatumika kwenye utengenezaji wa movie, picha zote hizi zimepigwa nyumbani kwa Marehemu Kanumba Sinza Vatican Dar es salaam, ambakoo anaishi mama yake kwa sasa.
Hilo gari jeupe hapo Kushoto ni moja ya magari matatu ya Marehemu Kanumba na kulia ndio nyumba aliyokua amepanga Kanumba.
Post your Comment






