
VICTORIA FOUNDATION mwishoni mwa wiki imekabidhi msaada wa chakula kwenye kituo cha kulea watoto yatima kinachoitwa FTI - Masumbwe (Feed and Tend International) kilichopo mkoani Geita wilaya ya Bukombe

Wadau toka Victoria Foundation wakishusha chakula kwa kituo hicho.

Ukiitengeneza japo siku moja tabasamu kwa mtoto anayeishi mazingira magumu ni thawabu kubwa kwa Muumba

Bango la kituo...

Mheshimiwa Vick Kamata ndani ya chombo cha usafiri hapa akiwa mkoani Mwanza akitokea mkoa mpya wa Geita kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo.
Post your Comment


