Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » EXCLUSIVE INTERVIEW: SIKU YA KWANZA NILIPIGA GAME LA UKWELI.....SHILOLE

EXCLUSIVE INTERVIEW: SIKU YA KWANZA NILIPIGA GAME LA UKWELI.....SHILOLE

Written By mpekuaji on Saturday, June 9, 2012 | 4:13:00 AM

1: Sehemu gani ya mwili wako inakupa marks za juu kwa wanaume?

Makalio yangu jamani kwani shepu ninalo mtoto wa kike.


2: If you were a fruit, what kind of fruit would u be and why?

Apple kwani ni alama ya mapenzi na huku ni tunda tamu.


3: What do you do when ur alone and nobody sees u?

Nafikiria jinsi ya kupata fedha.


4: How was your first sex experience?

Siku ya kwanza nilipiga game kiukweli sitoisahau. Ni feelings ambazo ni vigumu sana kuzisahahu. Ilikuwa ndani ya ndoa.


5: Kama ungekuwa mnyama ungependa kuwa nani?

 Daah me ningependa kuwa sungura kwa sababu mimi mjanja sana.

 

6: Wakati gani huwa unasema uwongo zaidi?

Ninapokuwa niko bize na nataka  save two masters at the same time.


7: One night stand with a Bongo celebrity?

Mmmmh nadhani Ray Kigosi, coz ni mwananume ambaye kila mwanamke aliyekamilika angependa kuwa nae.


8: Sehemu gani sensitive ukiguswa inakuwa hatari?

My boobs, yaani hatari kwangu mpaka nashindwa kuongea.


9: Kitu cha kijinga ambacho ulichowahi kufanya kwa sababu ya mapenzi?


 Niliwahi kumnunia rafiki yangu kipenzi kwa sababu tu aliwahi kunishauri kuwa na mwanaume ambaye kiukweli hakuwa na mapenzi ya dhati na mimi.


10 :  Longest time uliyokaa bila kufanya mapenzi.
 Miezi miwili.                                                                                            
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts