Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » EXCLUSIVE PICTURES: WEMA SEPETU AKIWA KWENYE NYUMBA YAKE MPYA

EXCLUSIVE PICTURES: WEMA SEPETU AKIWA KWENYE NYUMBA YAKE MPYA

Written By mpekuaji on Monday, June 11, 2012 | 4:30:00 AM

 
Wema akiwa na Zamaradi kutoka Clouds TV

 
Wema, Snura & Zamaradi

 Wema akiwa na James mtu ambaye ametengeneza style yote ya nyuma ya Wema.

 
Gari yake ya kwanza ilikuwa hii

Gari ya pili na ndio hii na ndio anayoipenda

Hapa ndipo anapoishi Miss Wema Sepetu maeneo ya Kijitonyama....wakati tukiendelea na kupiga picha mtangazaji kutoka Clouds TV Zamaradi alikuja kufanya interview ya Take 1 kwa hiyo kaa tayari itakujia siku si nyingi 

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts