Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » MISS DAR CENTER AFANYIWA KITU MBAYA

MISS DAR CENTER AFANYIWA KITU MBAYA

Written By mpekuaji on Tuesday, June 12, 2012 | 7:46:00 PM




Humans are so desparate nowdays, they are ready to do anything kupata kile wanachotaka!!!!!!


Usiku wa kuamkia Jumapili kwenye kambi ya contestants wa Miss Dar Center, mmoja ya washiriki ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuwa crowned as Miss Dar Center Rahma Rahmani amejikuta akipata balaa kubwa.


Akiwa anaamka kujiandaa kuelekea Bagamoyo kwenye kambi mpya, Rahma alijikuta akiwa amechorwa mwili mzima kwa maandishi ya kiarabu kwa wino mwekundu.


Akiongea na mtandao huu, Rahma alisema: “Kiukweli hii hali imenitisha lakini namuachia kila kitu Mungu, Imani ya dini yangu ndio itaniongoza kuna wenzangu wamehusisha tukio hili na ushirikina.”


A snitch from the camp ya mamiss hao pia aliidokeza mtandao huu  kwamba Rahma amekuwa akifanya vizuri kambini na kuwa threat kwa wenzie kuelekea siku ya finali ya shindano hilo next Friday.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts