Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » MJUE MWANAFUNZI ALIYEJIBU BONGO FLAVA KWENYE MTIANI

MJUE MWANAFUNZI ALIYEJIBU BONGO FLAVA KWENYE MTIANI

Written By mpekuaji on Tuesday, July 17, 2012 | 6:16:00 PM

Julius Dawson (23) ni jina ambalo linatajwa sana hivi sasa kwenye kila mazungumzo ya wapenda elimu hapa nchini.
na hii inakuja kufuatia hatua ya kijana huyo kuandika mistari ya Bongo fleva kwenye mitihani yake ya kidato cha nne msimu uliopita.


Katika mahojiano ya dakika 20 aliyofanya na MPEKUZI siku ya Jumapili, Julius alifunguka kinaga ubaga juu ya kilichokuwa moyoni kwake wakati anafanya mtihani huo na pia sababu hasa aliyomfanya kuamua kuandika mistari ya Bongo Fleva alihalia wazazi wake walikuwa wakijua kuwa mtoto wao yuko kwenye mtihani kwa wakati huo.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts