Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » VIDEO YA NEY NUSURA IMTOE ROHO

VIDEO YA NEY NUSURA IMTOE ROHO

Written By mpekuaji on Monday, July 30, 2012 | 8:23:00 PM

Staa wa muziki wa  kizazi kipya Bongo,  anayemiliki jina la Ney wa  Mitego amenusurika  'kudanja' kufuatia  mlipuko mkubwa wa moto wakati alipokuwa  akikamilisha zoezi la upigwaji picha (shooting) za video za wimbo wake mpya uliopewa jina la  Nasema nao ambao ndani ametoa diss kibao kwa  wasanii kadhaa wa muziki huo.

Akizungumza na mwandishi wetu muda mfupi uliopita  Ney ambaye sasa amejipachika jina  la 'True Boy' amesema kuwa kulikuwa na matukio mengi ya kushangaza wakati  kuanza kwa zoezi la kuchukua video hiyo ikiwemo watu kuungua moto na  wengine kukatwa na mabati wakati  wa harakati hizo.



Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts