Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » AUNT LULU AFUKUZWA NA MWENYE NYUMBA BAADA YA KUNASWA WAKIFANYA MAPENZI CHOONI

AUNT LULU AFUKUZWA NA MWENYE NYUMBA BAADA YA KUNASWA WAKIFANYA MAPENZI CHOONI

Written By mpekuaji on Saturday, September 22, 2012 | 12:31:00 AM

MWANADADA asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Mathias Semagongo 'Aunty Lulu' amefukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa anaishi Kinondoni jijini Dar es Salaam kutokana na mmoja wa wanaume aliokuwa akiishi nao anayedaiwa kuwa 'si riziki' kufumaniwa akifanuya uchafu chooni.
 
Akizungumza na Mpekuzi, mmoja wa majirani wa Aunty Lulu ambaye hakutaka jina lake liandikwe alisema mwanadada huyo pamoja na wanaume aliokuwa akiishi nao walifukuzwa wiki iliyopita na mwenye nyumba baada ya kubaini kuwa, wanatumia chumba chao kufanya ufuska. “Yaani sijui kwa nini Aunty Lulu alikuwa anawang’ang’ania wale watu, yaani walikuwa wanatusumbua kweli mpaka mwenye nyumba kaamua kuwafukuza, kitendo cha kufumwa chooni siyo cha mara ya kwanza, hii ni mara ya pili,” alisema jirani huyo.

MWAN

Baada ya kupata habari hizi, mwandishi   alimtafuta Aunty Lulu ambapo alikiri kufukuzwa ndani ya nyumba hiyo kutokana na tabia za wanaume hao .

“Ni kweli, wale wanaume wameniharibia sana na sasa naishi kwetu huko Mbezi wakati natafuta chumba kingine,” alisema Aunty Lulu.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts