Jana mrembo wa Nigeria na aliyekuwa mshiriki wa BBA Stargame, Goldie, alitua Tanzania akitokea nchini Uganda ambako huko alifanya collabo na rapper Navio.
Jana usiku Goldie alialikwa kwenye kipindi cha Friday Night Live na mara zote amekuwa akitweet picha mbalimbali kwa followers wake wa Twitter.
Goldie alipokuwa akihojiwa na mtangazaji Sam Misago kwenye FNL ya EATV
Goldie alitweet: VIP treatment in the sky! Captain khamis and Captain Shivogo gave me a cockpit view over the clouds of Zanzibar..
Post your Comment



