PAMOJA na kukiri kupewa uhuru wa kutosha na mumewe Frank Mtao, mkali wa filamu, Chuchu Hans amefunguka kuwa hawezi kutoka nje kama mastaa wengine wanavyoandamwa na skandali hiyo.
Chuchu aliiambia Mpekuzi kuwa anajitambua yeye ni nani katika jamii hivyo skendo haiwezi kumpata hata siku moja kwani hana tamaa ya fedha kama wengine.
Post your Comment


