Jumamosi iliyopita tarehe 22 septemba 2012 pale Mbalamwezi kulifanyika maonesho ya wabunifu wa mitindo (Mitindonite Tanzafashion Gala). Models walionyesha mavazi yaliyobuniwa na local designers mbalimbali wakubwa na wadogo.
| Ma Mc wa shughuli Irene Tillya (left) & Double A (right) |
| Ally Remtullah (katikati) alikuwepo |
| Kid bwoy |
| Add caption |
Post your Comment


