Kiumri anaonekana ni mdogo lakini kimatendo anaonekana ni mtu mzima.......
Dalili zinaonesha kuwa hana daliliya kujuta hata kidogo kwa sababu hata ukimwangalia amekaa katika mkao wa kupiga picha.......kwa hiyo ilikuwa ni ridhaa yake
Huenda ilikuwa ni zawadi kwa mpenzi wake....lakini ni ukweli usiopingika kuwa hakuna zawadi za picha za utupu maana watu si waaminifu........
Mkizinguana tu, picha zinazagaa mitandaoni. kuweni makini akina dada zetu
Picha za utupu hazina uhusiano wowote kwa mpenzi wako....kama anakupenda,hawezi kukudhalisha kwa kukupiga ukiwa mtupu
Picha za utupu hazina uhusiano wowote kwa mpenzi wako....kama anakupenda,hawezi kukudhalisha kwa kukupiga ukiwa mtupu
Post your Comment