Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Baada ya Jackline Wolper kuwa na Harmonize, Kataja jina Analomuita Diamond kwa Sasa

Baada ya Jackline Wolper kuwa na Harmonize, Kataja jina Analomuita Diamond kwa Sasa

Written By Vuvuzela on Wednesday, May 25, 2016 | 10:34:00 AM


Kwa sasa headlines nyingi katika upande wa mastaa Tanzania ni stori kuhusu penzi la muigizaji Jackline Wolper na msanii wa Bongo fleva kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) Harmonize ndio Topic kubwa town.
 
Katika mahojiano na Take One ya Clouds TV  na Zamaradi Mketema, Jackline Wolper ameeleza mambo kadhaa kuhusiana na penzi lake la Harmonize, Diamond ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake anachukuliaje mahusiano yao?
 
“Diamond rafiki yangu sana ni mtu ambae nategemea hata kuja kufanya nae filamu, Diamond ni rafiki yangu sana licha ya watu wanaweza wasielewe, lakini sasa hivi Diamond ni baba mkwe wangu.

 
“Kuhusu Harmonize nampenda kwa sababu ana hofu ya Mungu, ana heshima sana mwisho hawezi kufanya maamuzi bila kuomba ushauri, katika kunipenda mimi alipiatia pia kuomba ushauri kwa Diamond ambaye ni boss wake kaka yake na kupewa ruhusa kwa hiyo Baraka zimetoka kwa Diamond mwenyewe”

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts