Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Video: Idriss Alimfanyia Wema Sepetu Haya, Mara Baada ya Kusikia Wema Sepetu Katukanwa na Harmonize

Video: Idriss Alimfanyia Wema Sepetu Haya, Mara Baada ya Kusikia Wema Sepetu Katukanwa na Harmonize

Written By Vuvuzela on Saturday, May 28, 2016 | 7:40:00 PM



Baada ya kusambaa kwa video ya Harmonize akimsema vibaya Wema Sepetu, watu wengi walilaani kitendo hicho huku kuna baadhi yao wakimpongeza Harmonize. Habari kutoka kwa marafiki wa karibu wa Wema Sepetu zinasema kua aliumia sana alipoiona video hiyo kwa mara ya kwanza.

Wengi walitaka kujua Idriss alipokeaje swala hilo, basi hii ni Exclusive kutoka kwa Wema akielezea kitu alichofanyiwa na Idriss na kumtia moyo katika kipindi hicho kigumu. Wema alimshukuru sana Idriss kwa wema wake, unaweza tazama video ya alichokisema Wema Hapa....


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts