Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Video : Sikiliza Kionjo cha Wimbo Mpya wa Nay Wa mitego - Kati Patamu. TCRA watauacha??

Video : Sikiliza Kionjo cha Wimbo Mpya wa Nay Wa mitego - Kati Patamu. TCRA watauacha??

Written By Vuvuzela on Saturday, May 28, 2016 | 7:44:00 PM



Wengi wanamjua Nay Wa Mitego kwa kutoa nyimbo nyingi sana zikiwa za utata, mara nyingi hua anawachana watu maarufu bila kuwaogopa au ujumbe ndani ya nyimbo kua na utata. Haya basi katika pitapita zetu tumepata kionjo cha wimbo wake mpya ambao bado haijajulikana hasa utatoka lini.

Wimbo huo unaenda kwa jina la pale kati patamu, kwa tafsiri za kwetu mtaani nina uhakika kabisa kua huu wimbo ukiachiwa utakua gumzo sana . Sio tu mtaani hata huko mitandaoni ambapo nadhani TCRA wanaweza kufanya yao. Unaweza sikiliza video ya wimbo huo hapa chini......



Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts