Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Video ya dakika 7 ikimuonyesha Waziri Kitwanga akijibu swali huku amelewa Bungeni

Video ya dakika 7 ikimuonyesha Waziri Kitwanga akijibu swali huku amelewa Bungeni

Written By Vuvuzela on Saturday, May 21, 2016 | 7:59:00 AM

Rais  wa Jamhuri  ya  Muungano  wa  Tanzania Dr. John P. Magufuli jana  alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga  kufuatia kitendo cha waziri huyo kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.

==>Hapa chini kuna Video ya dakika 7 ikimuonyesha Waziri huyo  akijibu swali huku amelewa

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts