Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Mrembo Naj Kapatikana na Kaongea Kuhusu Ujauzito wa Baraka da Prince

Mrembo Naj Kapatikana na Kaongea Kuhusu Ujauzito wa Baraka da Prince

Written By Vuvuzela on Thursday, June 23, 2016 | 7:48:00 PM

June 22 2016 mwigizaji na msanii wa bongofleva Naj ali-trend na habari kuwa ana ujauzito wa mwimbaji wa bongofleva Baraka Da Prince sasa baada ya Naj kurudi bongo akitokea London June 21.

Kusema ukweli mimi naomba msubirie miezi tisa maana hivi vitu sio vizuri nianze kusema hadharani lakini kama ni mimba watu wataona itakapofika hiyo miezi tisa‘ Naj 

 Tazama Video


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts