Akijibu swali la kama wimbo wake mpya
‘Unaniangalia’ amemuimbia mwanaume, Mwasiti alisema haitokuja kutokea.
“Sijamuimba mtu yeyote naomba niklie hiyo issue, hiyo ni sanaa,” amesema.
“Sitegemea kumuimba mtu yeyote katika career yangu labda nitamuimbia
mwanangu na mama yangu. Siwezi nikamuimbia mwanaume kabisa nikakaa chini
nadraft hivi, hapana,” aliongeza.
Miongoni mwa mashairi yaliyozua utata kwenye wimbo huo ni pamoja na: Wala hukunipenda mimi,We ulitamani wa mjini, Wamekupiga chini,Unanifuata mimi wa nini!?
Mwasiti aliwahi kuhusishwa kuwa na uhusiano na mtangazaji wa EATV, Sam Misago.
Post your Comment



