Nuh Mziwanda baada ya kumpata mpenzi mpya amejikuta amerudia alilofanya kwa Shilole la kujichora tattoo mkononi ya jina la mpenzi wake huyo mpya..
Nuh Amesema huyu wa sasa amekuja na gia kubwa sana kiasi anaamini
anampenda kwa dhati, amempa sifa kuwa ni mwanamke anayependa marafiki
zake sana tofauti alivyokuwa shilole.
Post your Comment



