Rich Mavoko amesema lebo ya WCB itakuja kuwa kubwa sana Afrika. Amesema anatamani angekuwa ameruhusiwa kusema mambo makubwa wanayoyapika
ndani ya himaya yao. “Kiukweli kama ningeruhusiwa kutoa siri za
kampuni, ningesema nani ana video ngapi lakini mi naomba watanzania
waoneshe ushirikiano mkubwa kwa vijana wao,” anasema Rich.
Post your Comment



