Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Video:Rapper Young Dee Akiri Kutumia Madawa ya Kulevya kwa Mwaka mmoja

Video:Rapper Young Dee Akiri Kutumia Madawa ya Kulevya kwa Mwaka mmoja

Written By Vuvuzela on Thursday, June 23, 2016 | 9:11:00 AM


Baada ya kuzozana na vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii, na kupinga kwa muda mrefu kuwa hatumii dawa za kulevya, hatimaye leo Rapper Young Dee amekiri kuwa amekuwa akitumia dawa za kulevya kwa mwaka mmoja sasa na amepata msaada kutoka katika vituo vya kutolea tiba ili kuweza kuachana na dawa hizo.

Aidha ameeleza kuwa kuwa vile hakuwa amefikia katika hatua mbaya, ilikuwa rahisi kwake kuacha dawa hizo.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts