Baada
ya Naibu Spika Dk Tulia Ackson kuingia bungeni na kuongoza dua ya
kuliombea Bunge,Wabunge hao walianza kunyanyua mabango mbalimbali na kutoka nje.
Wabunge hao wameingia bungeni wakiwa wote
wamevalia nguo nyeusi walipohudhuria kikao cha 54 cha Bunge la Bajeti
mjini Dodoma.
Post your Comment






