Diamond Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo. Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square
imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Staa
huyo hakusita kusherehekea hatua hiyo na mashabiki wake:
Post your Comment