Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 77 na 78 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 77 na 78 )

Written By Bigie on Thursday, April 5, 2018 | 3:39:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA-
0657072588 

ILIPOISHIA       
Nilimuamrisha jamaa huyu, ila akaonekana haielewi lugha ninayo izungumza. Ahmood akabaki amekodoa macho, kwa nguvu nikamshika shingo jamaa huyu na kumuinamisha na kumfanya abong’oe na kuyaacha makalio yake yaeleke kwa Ahmood.
“Ahmood vuo nguo zako na wewe uwafanye kama kile walicho kifanya wewe”
Maneno yangu yakazidi kumshangaza kwani hakutegemea kabisa kama ninaweza kulifanya tukio hilo. Nikakazia macho Ahmood ambaye naye kwa woga akaanza kuvua suruali yake haraka haraka ili kufanya kile ambacho ninamuambia akifanye.
       
ENDELEA   
Ahmood akamalizia kuvua suruali yake pamoja na nguo yake ya ndani, nikabaki nimeshangaa kwani, umme wake ni mdogo sana kama kidole changu cha mkono tena cha mwisho. Japo umesimama ila sikujua hata hili zoezi atalifanya vipi.
Sikuwa na jambo la kuzungumza kwa maana Mungu amemuumba kila mwanaume na maumbile yake, wapo wenye maumbile makubwa wapo wenye maumbili ya saizi ya kati na wapo wenye maumbile madogo kama mwenzangu Ahmood.
“No, Dany siwezi kufanya hivi”
Ahmood alizungumza huku akitetemeka, anaonekena amefwata amri yangu ya kuvua nguo ila sio mapenzi yake kutoka moyoni. Sikuwa na la kufanya zaidi ya kumuachia jamaa wa watu ambaye muda wote hakuweza kukurupuka kutoka mikononi mwangu kwa maana nilimkaba kisawa sawa.
 
Ahmood akapandisha suruali yake taratibu huku akinitazama kwa macho ya woga, sikuhitaji kuiweka sura yangu katika muonekano wa hasira. Nilipo hakikisha amemaliza kuvaa, taratibu tukaondoka huku jamaa tukimuacha katika hali ya wasiwasi mkubwa sana. Hatukuzungumza kitu cha ina yoyote. Tukiwa njiani nikakutana na askari aliye niita kwa namba yangu na kuniomba niongozane naye. Nikamfwata nyuma nyuma hadi kwenye moja ya chumba ambacho kimejaa magunia mengi. Akatoka na kuufunga mlango kwa nje nikabaki peke yangu nikishanga shangaa.
   
Wakatokea manjemba manne yaliyo shiba nyuma ya magunia haya yaliyo pangwa vizuri kwenda juu. Manjemba haya kila mmoja mkononi mwake amasika fimbo aina ya mkia wa taa. Kila njemba ambalo ninaliangalia halionyeshi sura ya huruma wala kuhofia chochote kutoka kwangu. 
 
“MUNGU NISAIDIE”   
Nilizungumza maneno hayo huku nikirudi rudi nyuma kwa maana majama haya, miili yao imekatika kisawa sawa, miili yao imevimbiana kwa misuli minene. Taratibu ikaanza kugawanyika, ikijaribu kunizunguka, uzuri haya magunia yamekaa katika mfumo wa ngazi ambao mtu unaweza kupanda kiurahisi pasipo kupata shida ya aina yoyote. Njemba hizi ambazo ninaamini kwamba wametumwa kunishuhulikia kutokana nimevamia gereza kwa ubabe, ikaanza kurusha mikia yao ya taa, kwa kadri ya uwezo wangu nikajitahidi kuhakikisha kwamba ninaikwepa kwa kila namna huku nikizidi kupanda juu ya magunia haya. 
 
Uzuri wa wangu ni wepesi wa kuweza kuruka kutoka sehemu moja kwenda nyingine, ila hii mijamaa ni mizito sana, udhaifu wao ukawa ndio silaha yangu kubwa kwangu kwani kila walipo jaribu kuruka nilijitega kuhakikisha kwamba ninamrudisha alipo toka kwa teka ama kwa kumsukuma. Ikawa ni mchezo wa kukimbizana huku nikiendelea kuikwepa fimbo zao za mikia ya taa.

Karibia lisaa zima kazi yangu ikawa ni kukwepa na kupanda juu ya magunia, udhaifu ukajitokeza tena kwa hizi njemba, kwani wote ikafikia hatua wakachoka kukimbizana na mimi na ikawa ni rahisi kwangu kuanza kuwashambulia kwa kuwasukumia magunia haya mazito yaliyo jaa vyakula vya wafungwa. 

Nikabahatika kupata mkia wa taa kwa moja ya linjemba nililo liangushia gunia kifua na kutokana na kuchoka kwake likashindwa kulidaka na kujikuta likianguka chinia na gunia kumlalia kifuani. Ikawa ni kazi ya kuwacharaza mikia ya taa. Kumbukumbu ya mateso ambayo anayapata Mariam ikaanza kujirudia kichwani, nikakumbuka mambo mengi ya nyuma ikiwemo busu langu la kwanza kumbusu Mariam akiwa chumbani kwangu. 

Roho ya ukatili ikanivaa mwilini mwangu kwa kasi ya ajambu nikaanza kuvamia mtu mmoja baada ya mwengine, nilicho kifanya kwake ni kuvunja shingo yake kwa nguvu zangu zote, na mauti yakaanza kumchukua mtu mmoja baada ya mwengine. Nikamvamia wa pili naye nikamfanya kama nilicho mfanya mwenzake, kabla sijamfikai wa tatu, geti likafunguliwa na wakaingia askari wengi wa kike ambao kwa pamoja wakaniwahi kunikamata. Wengine kwa kutumia mashine za shoti wakaanza kunikandamiza nazo mwilini mwangu, na taratibu nguvu za mwili wangu zikaniishia na kujikuta nikilegea.

Wakanitoa kwa mfumo wa kunishika miguu yangu na kuanza kuniburuta chini. Kwa shoti walizo nipiga nazo sikuzikia maumivu yoyote kutokana mwili mzima umekufa ganzi. Wakanipeleka hadi kilipo chumba ninacho lala na kunisukumizia kitandani. Kwa uchovu taratibu usingizi ukaanza kunipitia na kujikuta nikilala fofofo.
 
“Dany, DANY”
Niliisikia sauti ya Ahmood masikioni mwangu, taratibu nikageuka na kumtazama. Nikamkuta akiwa amesimama kitanda cha pembeni yangu.
“Akma ule, nimkuletea chakula”
Ahmood alizungumza kwa sauti ya chini sana ambayo mtu wa chumba cha pili hawezi kukisikia. Nikajijanyanyua kitandani, viungo vyangu vyote vya mwili vinaniuma sana. Nikaka kitako, Ahmood akanipatia kipande cha mkate na chupa ya maji.
“Asante rafiki yangu”   
“Usijali, kula haraka haraka kwa maana tumeambiwa tusikupatie chakula”
“Sa…….”
Kabla sijamalizia sentensi yangu wakaingia askari wawili wa kike, kwa haraka wakanipokonya kipande cha mkate pamoja na chuma ya maji, mmoja akamshika Ahmood shati lake na kuanza kumpatia kipigo kwa kirungu chake huku akimtoa ndani ya chumba, nikatamani kumsaidia rafiki yangu ila nikashindwa kwani huyu aliye beba kipande cha mkate pamoja na maji aliwahi kuitoa bastola yeka katika sehemu alipo kuwa ameichomeka. Wakatoka katika chumba chetu na kuufunga mlango kwa nje na kuondka na Ahmood.
 
Taratibu nikairudisha miguu yangu kitandani na kujilaza chali, mawazo ya safari ya maisha  yangu ikaanza kujirudia kichwani mwangu taratibu, nikamuwaza K2 jinsi nilivyo kuwa ninakula naye raha za maisha huku akinipa pesa za matumizi. Kubadilika kwangu kwenye maisha ya mahusiano kukapelekea mambo kuwa magumu sana, hata ukweli wangu ndio ukanifanya nianze  kuonja gereza kwa mara ya kwanza katika maisha yangu.
“NAHITAJI UNILETEE KICHWA CHA K2 HAPA”
Maneno haya ya mama yakajirudia kichwani mwangu, jambo lililo nifanya nianze kububujikwa na machozi huku nikijilaumu ni kwanini nimeshinda kumpeleka mama yangu kichwa cha K2 muanzilishi wa matatizo makubwa kwenye maisha yangu pamoja na familia yangu nzima.

Kwa njaa kali ambayo inanikabili sikuweza kulala kabisa, nikabaki nikiendelea kujigeuza geuza kitandani mwangu huku mawazo yakizdi kuwa mengi sana. Ukimya wa gereza huu ulinifanya nianze kusikai nyayo za tu akikaribia kufika katika mlango wa chumba ninacho lala kwa maana hadi sasa hivi sifahamu ni wapi walipo mpeleka. Mtu huyo akasimama kwenye nondo za mlango wangu, kutokana kuna giza sikuweza kumuona vizuri wala kutambua kwamba ni mwanamke au mwanaume.
 
Nikasikia kitu kikiwa kimeburuzika kwa kusukumiwa ndani ya chumba changu kisha mtu huyo akaondoka na kuniacha nikiwa na maswali mengi juu ya kitu hichi kilicho sukumwa ndani ya chumba changu. Taratibu kwa umakini wa hali ya juu nikaanza kupapasa papasa chini kuangalia kitu hicho, nikakutana na kijikontena kidogo ambavyo kwa mara nyingi huwa vinahifadhiwa chakula. Tartibu nikakaa nacho kitandani na kukifungua, nikadumbukiza mkono wangu, hapo ndipo nilipo gundua kwamba ndani kuna kipande cha mkate pamoja na yai moja.

Taratibu nikaanza kukila huku nikiwa makini sana kuhakikisha kutafuna kwangu, hakusikiwi na mtu yoyote kwa maana ukimya ulipo katika hili gereza na giza hili totoro ni rahisi hata mtu kusikia misuguano ya meno. Kutokana na njaa kali, ndani ya dakika mbili nikawa nimemaliza kula chakula hichi, kijikontena hichi ambacho kimeletea chakula nikakiweka chini ya godoro tena katika kitanda tofauti na nilicho lalalia kisha nikajilaza kitandani, kidogo nikiwa na kijiunafuu wa maisha. 

Usingizi haukunipitia kabisa, hadi kengele ya kuamka inagongwa bado sikuwa na hata na lepe la usingizi. Nikajiamsha kitandani kwangu, milango yetu ikafunguliwa kwa pamoja, wafungwa wote tukatoka kwa pamoja huku tukikimbia kuwahi katika kiwanja cha kuhesabiwa namba. Tukajipanga mistari mirefu na tukaanza kuhesabiwa.

Kwa siku ya leo nikabahatiika kupata namba kumi na moja, baada ya watu kuhesabiwi, kama kawaida tukatawanyika, walio fanya mazoezi walifanya, walio amua kutulia sehemu moja wakafanya hivyo. Macho yangu yakawa na kazi ya kutazama ni wapi alipo Ahmood, sikufanikiwa kumuona jambo lililo nifanya nianze kuhisi hisia mbaya, kwani katika siku hizi mbili nilizo kaa humu gerezani yeye amekuwa mtu wangu wa karibu sana na ameweza kunifafanulia mambo mengi ya hapa gerezania. 

Nikiwa katika msongamano wa mawazo huku nikiwa nimesimama, nikastukia nikiguswa begani mwangu, nikageuka nyuma kwa haraka na kukutana na mzee wa kijapani aliye nisifia jana nilivyo kuwa nikipambana na watu ambao wanamuonea sana Ahmood. Kwa ishara akaniomba nimfwate, sikuwa na hiyana, nikamfwata nyuma hadi kwenye moja ya ukumbi wa mazoezi ambapo humu ndani kuna wapiganaji wengi wa asili tofauti tofauti. Kuna vifaa vingi ya mapambano, na watu nilio wakuta humu wote wanaonekana ni wapambanaji.

Kutokana lugha zetu ni tofauti sana na huyu mzee akawa ananielekeza kwa vitendo tu, kwa maana mimi sifahamu kijapani na yeye afahamu Kiswahili wala kingereza, mwanafunzi aliye kuwa naye ni mjapani mwenzake na ndio ninasikia kwamba yupo nusu fainali katika mashindano ya kuuana humu ndani.
Akaanza kunifundisha mazoezi ambayo kwangu ndio mara yangu ya kwanza, kutokana nina uwelewa mkubwa sana katika maswala ya kupambana ikawa ni rahisi sana kwangu kuelewa baadhi ya mafundisho anayo nipatia. Sikuhitaji kuwa mzembe katika kupata ujuzi kutoka kwa huyu mzee kwa maana nina amini kwamba ujuzi wake unaweza kunisaidia katika maisha yangu ya baadae hususani humu ndani ya gereza.

Jitihada zangu katika siku hii ya kwanza zikamfanya mzee huyu kuzidi kunipenda na kunifundisha kwa moyo mmoja, hadi unafika wakati wa kupata kifungua kinywa, nikawa nimefahamu mbinu nyingi sana. Tukaondoka ndani ya ukumbi huu na kuelekea katika ukumbi wa chakula, niwa nimeongozana na mzee pamoja na kijana wake. Tukasimama foleni moja, ambayo ndio ya yule msichana ambaye jana usiku alikuwa akinitazama na aliniongelesha Kiswahili. Ikafika zamu yangu ya kupata chakula, nikachukua sahani pamoja na kikombe na kumnyooshea.
 
“Vyombo vyangu umevitunza?”
Swali la binti huyu likanifanya nikumbuke tukio la jana usiku na hapa ndio nikagundua kwamba binti huyu ndio aliye niletea chakula jana usiku.
“Ndio”
“Hakikisha unavitunza kwa umakini”
“Sawa, ila nikuulize kitu?”
“Uliza?”
“Kwa nini umenisaidia?”
“Nitakueleza siku nyingine, ondoka wasije wakatustukia”
Nikaondoka na chakula changu huku nikiwa na matumaini mapya katika moyo wangu kuhusiana na binti huyu ambaye kwanza ni askari katika hili gereza na pili anafahamu Kiswahili vizuri na inavyo onyesha huko mbeleni anaweza kuwa msaada mkubwa sana kwangu.
Nikaka kwenye meza aliyo kaa mzee huyu wa kijapan na kijana wake, tukaendelea kupata kifungua kinywa. Baada ya kumaliza kupata kifungua kinywa, kengele ikagongwa na tukakusanyika katika ukumbi wa matangazo, ambapo hapo matangazo yakaanza kutolewa kwa luga nne ambazo ni Kingereza, Kijapani, kifaranza na Kizulu.

Matangazo  ya leo yanahusiana na mashindano yanayo endelea leo. Waalimu wa timu zao wakaambiwa kuwaandaa wapiganaji wao. Kutokana nimesha jiunga na mwalimu huyu, nikawa katika maandalizi ya kumuandaa kijana wake ambaye anaonekana kukamilika sana katika mapambano. Masaa yakazidi kusonga na muda wa kuingia kwenye ukumbi wa mapambano ukaanza. Kitu nilicho kigundua kwa haraka katika ukumbi huu kuna kamera nyingi zinazo rekodi matukio yanayo endelea katika eneo hili na yanarushwa moja kwa moja kwenye mtandao wao unawa waingizia pesa. Nikatafuta sehemu nikaka, mzee huyu akaelekea katika viti vya makocha pembeni ya huu ukumbi. Shangwe za wafungwa zikaanza kusikika kila upande wa huu uwanje. Askari hawa wa kike wamezagaa kila upande, wakiwa na silaha zao.

Pambano la kwanza ni la kijana wa huyu mzee wa kijapani pamoja na jitu moja jeusi, lenye umbo kubwa sana. Nondo zilizo tengenezwa kama banda zikafunika ulingo mzima na wapiganaji wote wamo ndani ya ulingo na hakuna sehemu ya kukimbilia. Kila mmoja akakabidhiwa silaha anazo zihiaji na kocha wake, kengele ya kuanza pambano ikagongwa, kufumba na kufumbua tukaona mkono wa mpiganaji wa huyu mzee ukianguka chini kwa kukatwa jambo lililo nifanya nibaki nikiwa nimeduwaa na nikahisi kuchanganyikiwa kabisa kwa maana mpinzani wake anapo elekea ni kumkata kichwa chake kabisa.

AISIIIII……….U KILL ME 78                                                                                                   

Kijana wa mzee huyu kusema kweli maumivu ya mkono wake yakampotezea umakini kabisa wa mpambano huu, sote tulipo uwanjani tukashuhudia damu nyingi zikituka zikitokea kwenye shingo ya kijana wa mzee anaye anza kunipa mafunzo. Kichwa chake kimetengana kabisa na mwili wake. Watu karibia wote uwanjani wakanyanyuka vichwa vyao wakiwa wameviweka kichwani, kila mmoja akaonekana kushangaa sana kwa kile anacho kiona.
Ni wafungwa wachache sana ambao wanashangilia tukio hili la kikatili, miguu yangu nilihisi imekosa nguvu kabisa, hata kusimama nikajikuta nikishindwa machozi yakaanza kunilenge lenga kwa maana jamaa ni muda mfupi tu nilikuwa naye ila kwa sasa mauti ndio yamesha mpata.

Nikamtazama mzee wa kijapani, nikamuona ameyafumba macho yake kwa uchungu sana hata yeye machozi yanamchuruzika kwenye mashavu yake. Nikajikaza kiume, nikasimama kutoka sehemu nilipo kaa na kuanza kutembea kwa taratibu kuelekea alipo kaa mzee huyu. Nikafika na kumnyanyua tararibu na kuondoka naye. Tukaelekea katika uwanja wa mazoezi ambapo hapakuwa na mtu yoyote, mzee huyu akaanza kupiga makelele ya nguvu huku akilia, sikuwa na jinsi zaidi ya kumuacha alie ili hasira na uchungu wake uishe. Baada ya nusu saa mzee huyu akasimama wima katikati ya ulingo wa mazoezi, akaniita kwa ishara. Taratibu nikapanda kwenye ulingo na kusimama wima huku nikitazamana na mzee huyu.

Akaniita kwa ishara ya kidole ili nimshambulie, kutokana nimazoezi nikaanza kumshambulia, kwa ngumi kadhaa, ila cha kushangaza hakuna hata ngumi moja ambayo iliweza kumpata na zote amezikwepa na yeye ndio akawa ananitandika ngumi zake ambazo ni nzito zaidi ya nilivyo mtarajia. Mapambano yakazidi kuwa makali hadi ikafikia kipindi nikaanza kuishiwa na nguvu pamoja na pumzi. Kwa mara kadhaa nilijikuta nikianguka chini kutokana na kushindwa kumuhimili mzee huyu.
Mzee huyu akatoka kwenye ulingo baada ya kuniangusha kwa kunipiga ngumi nyingi za kifua. Akaelekea sehemu yenye majambia akachukua majambia mawali na kurudi nayo. Akanipatia jambia moja na kuniamuru kusimama.

Kitu lilicho tokea nilihisi ni kama ndoto ila ni ukweli kwani mzee huyu alianza kuninishambulia na jambia lake, nilicho kifanya mimi ni kujikinga na jambia lake ili lisiingie mwilini mwake. Mashambulizi yalivyo anza kuwa makali taratibu nikaanza kutafuta ni mbinu gani inayo weza kunitoa kwenye ulingo huu. Nilipo bahatika kupata nafasi ya kuwa karibu na kamba za ulingo huu, nikajirusha nje na kukimbilia nje huku nikiwa nina hem asana kwa maana hasira zake mzee huyu anaweza kunimalizia mwilini mwangu kwa kunicharanga charanga mwili wangu kwa jambia lake.

Cha kushukuru Mungu nikawakuta wafungwa wengine wakitoka uliongoni na kueleka kwenye vyumba vya kulalala na mimi nikaungana nao kuelekea kulala huku nikiwa ninamwagikwa na jasho mwili mzima, nikaingia kwenye chumbani kwangu kabla sijapanda kitandania nikamuona Ahmood akiwa amelala kifudifudi kitandani huku akiwa anatetemeka. Kwa haraka nikamuwahi na kukaa pembeni ya kitanda chake.
“Ahmood”   
Niliimuuita huku nikimgeuza, nilicho kutana nacho kwenye sura yake nilihisi kuchanganyikiwa, kwani uso wake umemvimba hadi macho yake hayaonekani vizuri. Nikafungua vifungo vya shati lake na hapo ndipo nilipo kuta akiwa na alama nyingi za fimbo zilizo vimbia katika kila kona ya mwili wake.
 
“Ahmood nani amefanya hivi?”
“A…..ss…kar….i”
Ahmood alizungumza kwa shida sana, nikanyanyuka kwa hasira na kutoka ndani ya chumba changu, kwa maana bado wafungwa wengine wanaendelea kuingia kwenye vyumba vyao. Kwa haraka nikakimbilia sehemu tunapo patia chakula, sikukuta mtu yoyote, hapakuwa na chombo cha aina yoyote kwa maana lengo langu kubwa ni kwenda kuchukua maji ya moto kwa ajili ya kumkanda Ahmood ambaye hali yake sio nzuri kabisa. Nikiwa katika kuzunguka zunguka na kutazama ni nini ninatakiwa kukifanya. Taa zaote zikazimwa, giza totoro likatawala ndani ya ukumbi huu. Sikuona pa kutokea wala kuingilia, wasiwasi mwingi ukanijaa, ila nikajikaza kuhakikisha kwamba ninapata pakutokea. Kila nilipo zunguka jududi zangu ziliishia katika kujikumba kwenye meza pamoja na mabenchi yaliyomo humu ndnai ya ukumbi.

Nikiwa katika hali ya kuto kufahamu ni nini kinacho endelea, nikajiku nikiwahiwa kukabwa shingo yangu na mtu aliyopo nyuma yangu, nikajitahidi kujitoa mikononi mwake, ila kwa bahati mbaya sana, hakuwa peke yake, kwani nilisikia watu wengine wawili wakinishika mikono yangu kwa nyuma. Wakaanza kuniburuza kimya kimya huku kwa mara kadhaa nikijitahidi sana kujitoa mikononi mwao ila nikashindwa. Nilicho kisikia ni milango kufungwa na wala sikuona kitu chochote kutokana na giza kali sana.
 
Taa ikawashwa, macho yangu yakakutana na wasichana wanne ambao ni wanajeshi. Sura zao sio ngeni sana, hawa ndio wale walio kuwa nami katika chumba cha dkatari kipindi ambacho ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika katika gereza hili.
“Munahitaji nini?”
Niliwauliza kwa sauti ya kujiamini sana, wawili wakanisogela na kuanza kunifungua vifungo vya shati langu, kisha wakanivua suruali yangu na nikabakiwa na nguo ya ndani. Nguo yangu ya ndani nayo wakaivua na kuanza kumchezea jogoo wangu. Sikuwa na ujanja wa aina yoyote kutokana wawili wameshika mitutu ya bunduki wameninyooshea na endapo nitaleta ujinga wataniua humu humu ndani.
 
“Ngojeni kwanza, naombeni chakula”
Nilizungumza huku  nikifanya kwa vitendo kwa maana kusema kweli chakula tunacho kipata nikidogo sana na hili yendo wanalo hitaji nilifanye itakuwa ni hatari tupu kwagu. Wakatazamana, kisha wakazima taa, kitu nilicho kigundua kwamba wana uwezo wa kuona kwenye giza zito ni miwani zao za kijeshi walizo zivaa ambazo mara nyingi hutumiwa na wanajeshi wakati wa kazi za usiku. Sikujua ni nini kinacho endelea, ila nilicho kisikia ni mlango kufunguliwa na kufungwa. Ukimya ukaendelea kutawala ndani ya chumba. Baada ya muda kidogo mlango huu ukafunguliwa na kufungwa kwa ndani na taa ikawashwa. Binti mmoja akaja na kijikontena kilicho jaa wali na maharage, pamoja na chupa ya maji. Wakanikabidhi, taratibu nikapokea chakula hichi, ambacho sijakila kwa siku nyingi sana.

Sikujali kama mikono yangu ni misafi au laa, nikaanza kukila chakula hichi kwa pupa huku nikiwa nimewatolea macho, nilipo hakikisha tumbo limekaa sawa na hakuna hata punje ya chakula iliyo baki kwenye hichi kijikontena, nikafungua chupa ya maji safi na kuanza kuinywa kwa mafumba mazito mazito mazito hadi ikabaki robo. Nikaishusha kutoka mdomoni mwangu na kuanza kuhema taratibu huku macho yangu nikiwa nimeyatoa. Wasichana hawa wawili wakanisogelea, kama walivyo fanya awali ndio wanacho kifanya sasa hivi. Jogoo wangu akasimama kwa haraka sana, wasichana hawa mmoja baada ya mwengine akaanza kumnyonya jogoo wangu kwa utaalamu wake. Wasichana wawili walio  baki wakaendelea kusimmaa mbali kidogo na tulipo sisi huku wakiendelea kutazama wanacho kifanya wezao ila bunduki zao wamenielekezea mimi.

Sikutaka kuzubaa, japo wao ndio wanao nibaka kwa kutumia nguvu. Ila laiti wangejua wameingia kwenye namba chafu wala wasinge jihangaisha kufanya hichi wanacho kifanya. Wakavua suruali zao za kijeshi pamoja na nguo zao za ndani na kubaki kama walivyo  zaliwa. Mmoja akajiinamisha mbele yangu, sikufanya kosa la kumzamisha jogoo wangu kwa kasi kwenye kitmbua chake na kumfanya kutoa mguno mzito hadi wezake wakamtazama. Nikaanza kumla kitumbua chake kwa hasira, kila ninapo kumbuka mateso waliyo nipatia, basi kazi ya kumkandamiza jogoo wangu kwenye kiumbua chake nfivyo jindi nilivyo izidisha huku mikono yangu nikiwa nimekishika kiuno chake kisawa sawa.
   
Alipo ona mambo yanamuwia ugumu, akajichomoa yeye mwenyewe na mwenzake akachukua nafasi hiyo. Huyu kutokana na ukubwa wa makalio yake nikampanua miguu yake huku akiwa amelala chali, nikamzamisha jogoo wangu mzima ndani ya kitumbua chake, mikiki mikiki ambayo ninampatia nikamuona kabisa hato weza kuvumilia hadi nifikie mwisho kwa maana hata miguno yake anayo itoa ni ya mtu anaye kwenda kuishiwa na pumzi. Sili vitumbua vyao kwa ajili ya kustarehe ila ninakula kwa ajili ya kuwakomoa. Binti wa kwanza bado yupo chini amejilaza huku akiehema, huyu mwenzake ninaye mshuhulikia ndio amechoka kabisa. Hadi waarabu weupe wa awamu ya kwanza wanatoka wasichana hawa wawili sijaona hata mwenye hamu ya kurudiana na mimi.

Wasichana wawili walio salia, kila mmoja akaanza kuvua nguo zake taratibu huku wakiwa wananitazama kwa macho ya umakini. Jasho jingi linalo mwagika mwilini mwangu kana kwamba nimefanya mazoezi kwa muda mrefu, linaufanya mwili wangu ulio jengeka vizuri kwa mazoezi, kumetemeta na kuzidi kuwavutia wasichana hawa. Wasichana hawa wawili wakanisogelea taratibu huku wezao wawili wakiwa wamelala chini wamejichokea.
Wakaanza kuuchezea mwili wangu kama wasichana wa kwenye makasino wanavyo fanya ili kuwachomoa vibosile pesa. Mikono yao ikaendelea kupapasa kila kona ya mwili wangu na kunifanya nijisikie raha za muda mfupi. Kwa mwanaume uliye kamilika kila idara ukipata vishawishi kama hivi ni lazima jogoo wako aanze kunyanyuka taratibu hata kama umetoka kufanya shuhuli hiyo kwa muda mfupi ulio pita.

Vishawishi vya wasichana hawa vikazidi kupamba moto na kujikuta nikimshika mmoja na kumvuta karibu  yangu, nikaanza kumnyonya denda kwa nguvu sana. Mkono wangu wa kushoto ukakikamata kiuno chake vizuri huku mkono wangu wa kulia ukiwa na kazi ya kuyaminya makalio yake kwa nguvu huku kwa mara kadhaa nikiwa ninayapiga piga makofi na kuyafanya yatingishike. Mzuka wa kungonoka ukazidi kuongezeka mara dufu zaidi hata ya hawa wakwanza walicho nifanyia. Baada ya kumnyonya denda la kutosha, nikanyanyua kwa nguvu na miguu yake akaipitisha kiunoni mwangu na kuikutanisha kwa nyuma ya kiuno changu huku mikono yake akiwa ameipitisha begani. Kwa jinsi alivyo mwepensi ikawa rahsisi kwangu kumshika kwa mkono wangu mmoja huku mkono wangu mwengine ukimshika jogoo wangu na taratibu nikamuingiza kwenye itumbua chake.

Shuhuli ya kumuhudumia ikaanza kwa kasi ya ajabu sana, huku mwenzake akiwa na kazi ya kunilamba lamba mgongoni. Kusema kweli kati ya wasichana hawa watatu nilio wala kwa muda huu ila huyu wa tatu ana hamasa kubwa ya kumpa haki inayo stahili, kwani ana wepesi ambao wanaume wengi huwa tunapenda, pili ana miguno kama ya watoto wa Kizaramo au Kingoni. Anajua kikuzungusha kiuno chake na kujituma kisawa sawa katika kumkalia jogoo na anahakikisha jogoo ana donoa kila upande wa kitumbua chake. Sikuytaka kumkomo kabisa, zaidi ya kuhakisha ananipa raha ya uhakika. Mwenzake alipo ona rafika yake anachukua muda mwingi, akamuomba mpishe, msichana huyu, hakuwa na hiyana na taratibu akanichia na kushuka mwilini mwangu huku akiwa na tabasamu pana usoni mwake, na kila anapo nitazama hasiti kujilamba lispi zake nene kiasi.

Mwenzake akajiinamisha na kuushika ukuta wa hichi chumba, huku akiwa amebong’oa na kuniachia kiwiliwili cha nyuma nikishuhulikie. Nikaanza kumpa haki ambayo anastahili kama wezake, ila sikuona utaalamu wowote kutoka kwake. Japo anajitahidi kukizungusha kiuno chake ila hakuna cha maana anacho kifanya. Nilipo hakikisha ameridhika, nikamrudia wa tatu aliye nifurahisha ambaye naye akanipokea kwa furaha sana. Tukaendelea kuchizika hadi waarabu weupe walipo toka. Kila mmoja akwa ameridhi kwa kile alicho  kipata kutoka kwangu mimi. Kwa uchovu mwingi tukajikuta kila mmoja akijilaza sehemu yake. Msichana niliye nifurahisha akanisogelea sehemu nilipo kaa na kukilaza kichwa chake kifuani mwangu. 
 
“Umenifurahisha kaka”
Nikastuka kwa msichana huyu kuzungumza Kiswahili, ikanibidi nikisogeze kichwa chake kwenye kifua changu na kumtazama usoni vizuri.
“Mbona umestuka, ninakifahamu Kiswahili vizuri sana”
“Mmmm, umetokea wapi?”
“Nimetokea Tanzania, nchi uliyo tokea wewe. Ndio maana pale ulipo hitaji chakula  nilikwenda kukuchukulia haraka”
“Hwa wezako wanafahamu Kiswahili?”
“Hakuna hata mmoja anaye kifahamu Kiswahili wote hawa wanafahamu kizulu na kingereza”
“Kwa hiyo hawa ni waafrika kusini?”
“Ndio, unaitwa nani?”
“Dany wewe je?”
“Vivian”
“Imekuwaje hadi ukawa mwanajeshi katika gereza hili?”
Hata kabla Vivia hajanijubu chochote, mlango huu ukaanguka chini baada ya kuvunjwa kwa nguvu. Kundi kubwa la wasichana hawa wakijeshi wakiwa wameongozana na mkuu wao wa hili gereza wakasimama mlangoni, huku nyuso ya huyu mwana mama mkuu wao ikiwa imetengeneza alama ya ‘V’ kutokana na hasira kali aliyo nayo. Vivian na wezake wakajikuta wakikurupuka kila mmoja akajawa na wasiwasi mwingi sana kwani kinacho kwenda kutokea Ahmood alisha wahi kuniambia.
                                                                            ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya