Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Mhe Grace J.E. Mujuma akisoma hotuba fupi ya kuwasilisha Hati Za Utambulisho kwa Rais wa Zambia,Mhe. Michael Chilufya Sata wakati wa hafla fupi iliyofanyika IKULU- Lusaka.
Mhe Balozi Grace J.E. Mujuma akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Rais Michael Chilufya Sata.
Post your Comment