Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Tanzia;Aliyekuwa Mkurugenzi Jiji la Dar es saam,Wilson Kabwe Afariki Dunia

Tanzia;Aliyekuwa Mkurugenzi Jiji la Dar es saam,Wilson Kabwe Afariki Dunia

Written By Vuvuzela on Saturday, May 21, 2016 | 10:11:00 AM

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe ambaye April 19 mwaka huu alisimamishwa kazi na Rais Magufuli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na  Meya wa Jiji la Dar  es Salaam, Isaya Mwita

Kabwe amefikwa na mauti  akiwa nchini India kwa matibabu. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu. Amina

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts