Mtandao wa udaku wa TMZ umeripoti kuwa kuna baunsa anasema alipigwa
ngumi na Lil Wayne wakati watu wake walipozuiliwa kuingia ndani.
Timu ya Wayne imekanusha taarifa hizo na imesema baunsa huyo
alimshika vibaya Lil Wayne kwenye mkono wake na ndipo walipotofautiana.
Post your Comment



