Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 23 na 24)

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 23 na 24)

Written By Bigie on Monday, March 5, 2018 | 11:28:00 AM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA                        
ILIPOISHIA   

Raisi alizungumza kwa kubabaika sana, kitendo kilicho nishangaza hata mimi mwneywe.
“Hapana dhiara yoko iwe pale pele muheshimiwa, ila ninacho kuomba uweze kuondoka Dar es Salaamu kupitia botii usiku wa leo. Ondoka na walinzi wako unao waamini ukisha fika Tanga mimi ndio ninakaye kupokea katika ufukwe wa Mwambani”
“Sawa sawa kijana nitafanya hivyo na msafara wangu wa kesho je?”
“Awepo raisi feki ambaye anaweza hata kuvalishwa sura ya bandia”
“Basi nitafanya hivyo kijana asante sana na Mungu akubariki”
“Asante muheshimiwa”
Simu ikakatwa, Olvia Hitler akaachia tabasamu pana kisha akanyanyuka kitandani na kunisokela sehemu nilipo simama, akalifungua taulo langu na kunishika jogoo wangu na kumninya taratibu, kitu kilicho ufanya mwili wangu mzima kusisimka kupita hata nilivyo wahi kushikwa na mwanamke yoyote kwenye maisha yangu.

ENDELEA
“Unajisikiaje?”
Olvia Hitler aliniuliza kwa sauti laini huku akiendelea kumchua jogoo wangu.
“Ra…rahaaa”
“Ok baadae kafanye kazi kwanza”
Olvia Hitler akaniachia na kusogea pembeni yangu, tukatazamana kwa sekunde kadhaa kisha akaotoka mlangoni pasipo kuufungua, kitendo kilicho nishangaza sana. Nikabaki nikiwa nimesimama kwa sekunde kadhaa huku macho yakiwa yamenitoka nikikilifikia tukio  la Olvia Hitler kutoka kwenye mlango huu. Mlio wa simu yangu ndio ukanistua na kujikuta nikiitazama ni nani anaye piga. Nikakuta ni K2, nikashusha pumzi nyingi kisha nikaipokea simu.
 
“Dany za asubuhi mpenzi wangu?”
“Salama za kwako?”
“Safi vipi kuna taarifa yoyote ambayo imetokea?”
Nikataka kumuambia ndio, ila nikasita kidogo na kufikiria, kitu ambacho nimekizungumza na raisi.
“Dany”
“Eheee”
“Vipi mbona kimya?”
“Ahaa hakuna kitu, kidogo usingizi ndio unanipitia pitia hapa”
Ilinibidi kuongopea japo usiku mzima sikuweza kulala, ila uchovu wangu wote umweweza kuniondoka kutokana na maajabu niliyo weza kuyaona kwa mara yangu ya kwanza kwenye maisha yangu.
“Ahaa ina maana bado umelala mpenzi wangu?”
“Yaa baby, nimechoka sana. Ila hakuna kitu kilicho jitokeza”
“Ok sawa ngoja nikuache upumzike kipenzi changu mwaya”
“Asante sana baby”    
 
“I love you Dany”
“I love you too baby”
K2 akakata simu na kujikuta taratibu nikikaa kitandani huku kichwa changu kikiandamwa na mawazo ni kitu gani ninaweza kukifanya kuingia katika ofisi ya Meya na kuichukua Nyaraka ambazo ni mali ya mama. Sikuona kama ninaweza kuendelea kukaa hotelini hapa, nikaingia bafuni na kuchukua tisheti yangu ambayo bando ni mbichi. Nikaivaa hivyo hivyo japo nina tambua ina madhara kwenye kidonda changu mgongoni, nikaivaa suruali yangu, pamoja na viatu. Nikachukua kila kilicho changu ndani ya chumba hichi na kutoka. 

Nikaeleka sehemu nilipo liacha gari la mama, nikafungua na kuingia. Nikaondoka hotelini hapa taratibu na kuanza kueleka katika ofisi za Meya zilipo. Uzuri wa jiji la Tanga, hakuna magari mengi kiasi cha kufanya kuwa na foleni kama Dar es Salaam. Sikuchukua muda mwingi  kuweza kufika katika ofisi za meya huyo. 

Nikaisimamisha gari yangu mbali kidogo na ofisi hiyo kwa mana gari hili ni la mama na nina hisi kwamba ni watu wengi wanalifahamu, japo yapo mengi hapa mjini ila mtu anaweza kufahamu namba za usajili wa gari. Kabla sijashuka simu yangu ikaita na kukuta ni mama, nikaipokea na kuiweka sikioni huku nikiacha gari likiwa bado linawaka.
 
“Shikamoo mama”
“Marahaba, umefikia wapi?”
“Sasa kuna kazi nina ifanya nitakufahamisha”
“Sawa, ila nataka kwenda ofisini leo kuna kikao cha maandalizi ya mwisho ya kumpokea raisi”
“Mmmm, huoni kama inaweza kuwa ni hatari kwako?”
“Hapana haiwezi kuwa na hatari, kwa maana nitatumia gari la baba yako mkubwa hapa”
“Sawa mama kuwa makini, na usiache kunitaarifu kwa chochote kitakacho endelea na nyaraka zako by saa nne nitakuwa nazo”
“Nitakushukuru sana mwangu, kwa maana hapa ninakwenda ofisini ila sina hata amani”
“Usijali mama kila kitu kitakuwa salama”
“Sawa, ila kuwa maniki Dany, usije na wewe ukaingia kwenye matatizo”
“Usijali hilo mama yangu”
“Ok asubuhi nje”
“Nawe pia mama”
Nikakata simu, nikazima gari na kuchomoa funguo. Nikashuka kwenye gari na kuanza kutembea kwa miguu kuelekea kwenye ofisi hizo za Meya, kwa bahati nzuri nikamkuta msichana ambaye amevalia mavazi ya sectretary akifungua ofisi hiyo.
 
“Habari yako dada”
“Salama, kaka habari ya wewe”
“Safi tu, naonao ndio unafungua ofisi?”
“Yaa ndio mida yetu ya kufungua ofisi”
“Ahaa sawa sawa. Meya huwa anafika saa ngapi?”
“Saa mbili na nusu huwa ndio muda wake”
Nikatazama saa ya kwenye simu yangu na kukuta ni saa moja na dakika ishirini. Dada huyo akaingia ndani ya ofisi hizo na mimi nikamfwata kwa nyuma. Akaniomba nikae kwenye moja ya vii vilivyo pangwa vizuri kwenye sehemu ya mapokezi. Akaanza kufanya usafi huku muda mwingi nikiwa ninamtazama jinsi anavyo fanya usafi huo. Sio mzuri sana wa sura, ila amebarikiwa kalio kubwa, na mguu mzuri. Kijisketi chake cheusi alicho kivaa kinacho ishia juu ya magati kwa mara kadhaa kinanifanya nizidi kumtazama pale anapo inama. Jogoo wangu akaanza tabia yake ya kuleta fujo ya kunyanyuka nyanyuka ndani ya suruali. 
 
“Ngoja nikamwage hizi taka huko nyuma.”
“Sawa”
Dada huyo akatoka na kindoo kidogo cha kumwagia taka kitu kilicho nipa mimi nafasi ya kunyanyuka kwa haraka na kuchukua funguo alizo ziweka juu ya meza yake, nikajaribu kufungua kwenye mlango wa ofisi ya meya. Kwa bahati nzuri nikafanikiwa kuufungua mlango huo na kuingia ndani. Moja kwa moja nikaelekea katika sehemu ambayo Olvia Hitler alinielekeza. Nikaanza kuchambua mafaili hayo na kweli nikazikuta nyaraka zinazo onyesha ujenzi wa bandari mpya hapa jijini Tanga. Nikazichukua kwenye faili lake na kuzikunja vizuri na kuzichomeka kwenye suruali yangu upande wa paja la kulia kisha nikatoka na kufunga mlango na funguo kuzirudisha sehemu nilipo zitoa na kukaa kwenye kiti nilicho kaa, haikupita hata dakika moja, msichana huyo akaingia akiwa na kindoo hicho kilicho kitupu.
 
“Samahani mwaye kwa kukuweka”
“Hakuna tabu, sijui naweza kupata namba yako, nataka kutoka mara moja. Mida ya saa mbili nitakupigia kuweza kujua kama meya ameweza kufika?”
“Ndio hakuna tabu”
Nikampa dada huyo simu yangu, akaandika namba zake na kunirudishia.
“Jina nani?”
“Husna”
“Ok shukrani sana husuna”
“Usijali”
Nikatoka ofisini hapo na kurudi sehemu ilipo gari yangu, nikaingia ndani. Kabla sijaondoka nikaona gari la Meya likipita pembeni na sehemu nilipo simamisha gari langu na kuelekea katika ofisi yake. Kwa haraka nikaliwasha gari langu na kuondoka. Moja kwa moja nikaeleka nyumbani ambapo nikakuta utepe wa njano wa polisi huku kukiwa na vibango vidogo vilivyo andikwa haruhusiwi mtu kuweza kuingia ndani ya nyumba hiyo, uchunguzi wa kipolisi unafanyika.
“Sahani huruhusiwi kuingia ndani humu”
 
Askari mmoja wa kike niliye mkuta baada ya kufungua geti alizungumza huku akinitazama usoni. Sikutaka kuzungumza sana wala kubishana naye, nikata waleti yangu na kumuonyesha kitambulisho changu cha kazi alicho kisoma kwa sekunde kadhaa kisha akanirudishia.
“Samahani kwa usumbufu”
“Hakuna shida dada yangu”
Nikaaelekea moja kwa moja ndani, ambapo nikakuta baadhi ya askari wapatano sita wakifanya upelekezi, walipo niona mmoja wao akanizuia. Ila mmoja wao aliniona jana usiku na kumuambia askari huyo aniruhusu kuingia ndani.
“Mumefanikiwa kupata kitu gani hadi muda huu?”
Niliwauliza askari hao huku nikiwatazama kwa umakini.
“Hadi sasa hivi hatujafanikiwa kupata kitu chochote”
“Sawa”
Nikaingia chumbani kwangu, nikalitoa faili hilo na kulikunjua, nikaanza kutazama nyaraka moja hadi nyingine. Nyaraka hizi zinaonyesha mradi mzima wa bandari kujengwa katika eneo la Mwambani. Kiwango cha pesa zaidi ya Bilioni mia moja ambazo ni dola za kimarekani, zilizo fadhiliwa na benki kuu ya dunia, zimewekezwa katika mradi huu.  Kitu ambacho kinasubiriwa ni raisi kuweza kutia saiini katika mradi huo ili uanze kufanya kazi kwa haraka.
 
Ila katika faili hili kuna nyaraka nyingine ambazo  kwa kuzitazama unaona hizi zimewekwa na meya huyu alio shawishi baraza lake la madiwani kuweza kukataa ujengwaji wa bandari hiyo katika eneo hilo na iamishiwe katika eneo jingine, jambo ambalo sikujua ni kwa nini wamefanya hivi.
Bajeti iliyopo katika nyaraka hizi za Meya inapata zaidi ya dola bilioni tisini za kimarekani huku dola kumi za kimarekani zikiwa zimepigiwa pigiwa mahesabu ambayo kwa kuangalia zinaingia kwenye mifuko ya watendaji.
“Imekula kwako”
Nyaraka hizo nikaziweka kwenye begi langu, nikaufunga mlango wa chumbani kwangu kwa ndani kisha nikavua nguo zangu, nikaingia bafuni, na kuoga kwa mara nyingine. Nikatoka bafuni na kumpigia mama.
 
“Vipi”
“Nimezipata mama”
“Kweli?”
“Ndio na nimepata na feki zake”
“Ohoo asante Yesu, kwa hiyo kwa sasa upo wapi?”
“Nipo nyumbani”
“Hapo si kuna upelelezi unaendelea?”
“Ndio ila nimekuja kubadilisha nguo. Vipi umesha kwenda ofisini?”
“Ndio na hapa ninajiandaa kuingia kwenye kikao”
“Ok hakikisha kwamba ukitoka hapo, moja kwa moja unarudi kwa baba mkubwa”
“Sawa”
Nikakata simu na kuanza kutoa nguo moja baada ya nyingine kwenye kabati langu la nguo. Nikavaa nguo nyingine kisha nikatoa nyaraka hizo kwenye begi na kuziweka kwenye kabegi kidogo cha mgongoni, ambacho nilikuwa nikikitumia kipindi ninasima sekondari. Uzuri mama yangu anapenda kunitunzia vitu vyangu vya tangu nilipo kuwa kijana mdogo sana. Nilipo hakikisha kila kitu kipo vizuri, nikachukua pesa zote alizo kuwa amenipatia K2 na nikatoka chumbani kwangu. 

Nikawakuta askari wawili sebleni, sikutaka kuwauliza zaidi ya kutoka nje, ila nikakuta askari wengine wakiwa wamesimama na Meya akiwapa maelekezo.
Moyo ukanistuka sana, nikamtazama Meya ambaye naye akanitazama huku akiwa amenikazia jicho. Maelekezo hayo, meya akwa anayatoa kwa sauti ya chini tangu alipo weza kuniona mimi. Nikaanzz kutembea kueleka getini na kuwapita, kabla sijapiga hatua nyingi, nikasikia sauti ya meya huyo akiniita.
 
“Kijana hembu subiri mara moja”
Nikageuka na kumtazama. Meya huyo akaanza kutembea kwa hatua za umakini huku akinitazama kwa macho ya kunichunguza.
“Wewe ni muhusika katika hii kesi?”
“Kesi gani?”
“Juu ya mauaji yaliyo weza kutokea katika nyumba hii?”
Askari wa kike ambaye nilikutana naye getini, akanikonyeza huku akitingisha kichwa pasipo mtu yoyote kuweza kuona tukio hilo.
 
“Hapana sihusiki?”
“Na ulifwata nini humu ndani?”
“Hilo sio swala la msingi la wewe kufahamu, kwa mana wewe sio mpelelezi wala askari wa kuweza kunihoji mimi ni nini nilicho weza kukifwata humu ndani”
“Unanijibu dharau kijana”
Meya alizungumza huku akipandisha sauti yake juu, labda alihisi kwamba ninaweza kutetereka kumbe kwa bahati mbaya ninamesha mjua A hadi Z.
“Kuna dharau gani hapo mzee?”
“Unajua mimi ni nani wewe?”
“Hilo sio swala la msingi kuweza kujua kwamba wewe ni nani, kwa mana mtu ninaye mfahamu mimi ni bosi wangu tu na si wewe na kila kitu ninacho kifanya ninafanya kwa kufwata amri ya bosi wangu”
“Pumbavu…..”
Meya akataka kurusha kofi nikamuwahi kumdaka mkono wake. Nikaurudisha chini ulipo toka kwa nguvu hadi akapepesuka kidogo.
“Kamateni huyuuuuu”
Polisi wote wakabakiw amesimama huku wamebaki wakinitolea macho, hakuna polisi aliye weza kuisikiliza amri ya mzee huyo ambaye ni Meya.
 
“Hivi una mamlaka gani ya kuamrisha jeshi kama unavyo taka wewe?”
“Mimi ni meya wewe”
“Ahaahahaa Meya, meya ndio uamerishe jeshi? Mwenye nguvu ya kufanya hivyo ni raisi tu na si wewe pumbavu”
Nikapiga hatua mbili mbele, kisha nikarudi hadi sehemu alipo simama meya nikamsogelea karibu na sikio lake.
“Tambua upo kwenye kitanzi, huto fungwa ila utakufa. Kenge wewe”
Nilipo maliza kuzungumza maneno hayo kwa sauti ya chini chini, nikaondoka huku nikiwa nimeachia tabasamu la kumkejeli meya aliye nitumbulia macho ya hasira. Nikafungua geti na kutoka. Nikauta gari lake huku kukiwa na mtu ambaye Joseph alinitumia picha yake na nyaraka zake. Mtu huyo mwenye asili ya kisomali, ila si rahisi kumgundua kwa haraka, akanitazama kwa macho makali. Sikumsalimia zaidi ya kuingia kwenye gari langu na kuondoka huku kichwani mwangu nikiamini dawa yao hawa inachemka.
 
   Nikaanza kueleka hospitalini ambapo ndipo alipo Yudia, njia nzima kichwa changu kikawa na kazi ya kufikiria ni kutu gani ninaweza kukifanya na hawa wapuuzi kuweza kuwaangusha chini. Sikupata jibu na kujikuta nikiwa nimesha fika hospitalini. Kitu kilicho nishangaza ni mikusanyiko ya watu walio kaa nje ya hospitali hiyo katika vikundi vikundi wakionekana kujadiliana maswala fulani. Nikasimamisha gari langu pembeni huku nikiwa na wasiwasi mwingi. Nikamfwata kijana mmoja ambaye amesimama peke yake na kumuliza ni kitu gani kinacho endelea eneo hili la hospitalini.
 
“Aahaa kaka hapa kuna mauaji yametokea yaani wee acha tu”
“Mauaji!!?”
“Ndio mida ya saa mbili hivi tulisikia milii ya risasi, watu wote tulitawanyika tuliokuwa karibu na eneo hili. Ndio hivi tumerudi rudi kutazama ni kitu gani kimetokea na kukuta watu wamuawa humo ndani”
Kusikia hivyo sikutaka kuendelea kumuuliza kijana huyo maswali zaidi ya kuingia hospitalini hapo. Huku akili yangu ikiwa inamfikiria Yudia pekee. KKweli damu nyingi nikazikuta kwente kirdo ya kuingia kwenye hospitali. Nikakimbilia hadi kwenye chumba alipokuwa  Yudia, nikakuta nesi ambaye nilimkuta wakitomban** na daktari akiwa ameuwawa kwa kupigwa risasi za kifua. Daktari na Yudia sikuweza kuwaona kitu kilicho zidi kuniumiza kichwa na kunichanganya.

AISIIIII……….U KILL ME 24

Kitanda ambacho kipo ndani ya chumba hicho hakikuwa namtu. Nikatoka huku bastola yangu nikiwa nimeishika mkononi. Nikaanza kuchunguza chumba kimoja baada ya kingine. Vyumba vyote vya hospitali hii havikuwa na mtu hata mmoja.
Nikarudi kwenye kordo ambapo kuna damu nyingi ila mwili wa mtu aliye uliwa haupo eneo hili na hakuna michirizi yoyote ya damu inayo onyesha ni wapi alipo elekea mtu huyo aliye uwawa.
Nikiwa hapo nikasikia ving’ora vya gari za polisi wakiwa ndio wanafika katika eneo hili, nikairudisha bastola yangu nilipo itoa na kutoka nje. Wanaanchi walio kuwa katika eneo hili wakaanza kuwazomea askari hao, walio chelewa kufika katika eneo la tukio.
 
“Askari wengine bwana, tukio limesha isha ndio wanaleta mabichwa yao hapa”
Mama mmoja alizungumza kwa hasira huku akimtazama askari mmoja mweusi na mwenye kichwa kikubwa kidogo.
“Kaeni pembeni”
Askari huyo alizungumza huku akiwaambia wamama hao walio kaa kikundi.
“Twende wapi, sasa hivi ndio unahisi kuna kukaa pembeni”
“Mama angalia kauli zako hizo”
“Tatizo lenu hampendi kuambiwa ukweli. Majambazi wamekuja hapa wamemchukua ngonjwa na daktari nyinyi ndio munakuja, sasa munakuja kufanya nini sasa”
Mama huyo ambaye anaonekana kuto kuogopa chochote kabisa, alizidi kuzungumza kwa hasira na kutufanya watu karibi wote kumtazama yeye na kumsikilza anacho kizungumza. Hapo ndipo akwa amenifungua akili kwamba majambazi walio kuja kuvamia hapa hospitalini ni wale ambao walitumwa kumtafuta Yudia ni wapi alipo.
 
“Na kesho raisi si anakuja, lalamiko la kwanza kwetu ni kuwabadilisha polisi wote, walio oza oza kama wewe. Tazama bichwa lako”
Maneno ya mama huyo yakamkasirisha sana askari huyo akatisha kama anampiga mama huyo aliye msogelea askari huyo kwa ukaribu.
“Weee wee niguse uone nigusee”
Askari huyo akajikuta akinywea, na wamama wengine wakamuunga mwenzao kwa kumzoea askari huyo aliye jikuta akiingia dani hospitalini. Nikarudi kwenye gari langu huku nikiwa na mawazo mengi sana sikujua nifanye nini kwa wakati huu.  Simu yangu ikanitoa kwenye mawazo, nikaangalia simu yangu na kukuta ni Luka, ananipigia, nikaipokea simu na kuiweka sikioni.
“Kaka?”
“Niambie”
“Sisi tumesha ingia Tanga”
“Mupo wapi kwa sasa”
“Tumefikia kwenye hoteli moja wanaiita Nyinda, ipo hapa kwa Minchi”
 
“Ok sawa nitafika hapo muda si mrefu”
“Poa poa kaka”
Nikawasha gari langu na kuondoka huku akilini mwangu nikiwa na mawazo mengi sana. Sikuwa na jinsi zaidi ya kuelekea kwenye hoteli hiyo. Nikafika na kutoa simu yangu nikampigia Luka, akapokea nikamuomba anielekeze chumba walipo. Alipo nitajia namba ya chumba nikashuka kwenye gari, nikalifunga na kueleka katika chumba hicho.
Nikagonga mlango wa chumba, ukafunguliwa na Luka, nikaingia na kumkuta akiwa na Latifa, akiwa ni mwenzetu katika kikosi cha upelelezi.
“Jamaa hajakuja?”
“Yaaa ratiba ilibadilika, K2 akaagiza nije na Latifa”
“Latifa unazidi kupendeza au ndio hayo marupurupu ya kazi?”
“Dany acha utoto, napendeza wapi?”
“Ahaaa nasikia una kibopa mmoja anakupa maisha matamu”
“Hhaaa acha hizo wewe”
Tulijikuta tukicheka sote, kwa maana nimesha zoea kutaniana na Latifa. 
 
“Tupe taarifa”
Nikaanza kuwasikilizisha sauti nilizo zirekodi katika kikao ambacho mkuu wa mkoa pamoja na meya wanapanga kumuondoa raisi.
“Mmmmm, Dany mbona hii kazi ni nzito”
Luka alizungumza huku akinitumbulia macho, akaanza kupitia picha nilizo piga wasomali hao walio jipanga kwa ajili ya kumuondoa raisi.
“Wee acha tuu, hapa nilipo nimechoka kiseng**. Tangu jana sijalala”
“Ahaa kwa hali kama hii unadhani unaweza kulala. Sasa umezungumza na mkuu wa ulinzi wa msafara wa raisi?”
“Tena huyo mamaaee zake. Ni miongozi mwa hao waseng** hapo”
“Ahaa Dany sasa inakuwaje?”
“Nimezungumza na raisi, nimepa njia za kuweza kuonana naye, na ataingia leo usiku. Tutakwenda kumpokea sisi na ndio tutakao mlinda hadi anarudi Dar es Salaam”
“Weee sasa K2 si anaondoka na msafara kesho?”
“Msafara kesho utakuwepo kama kawaida ila atakuwepo raisi feki. Sasa mimi sijui ni watafanya vipi ila raisi wa msafara atakuwa ni feki”
“Hapo  umecheza mwanetu”
“Ila kabla ya kwenda kumchukua raisi, ila hawa waseng** nilazima tuawapunguze mmmoja baada ya mingine”
 
“Mmmm si Al-Shabab hawa?”
“Ndio wenyewe”
“Ahaaa Dany mke wangu ana mimba bwana, unataka nife hata sijamuona mwanagu”
“Acha uku** na wewe, angekuwa ni K2 amezungumza haya ungezungumza ujinga wako huo”
Ilinibidi kumfokea Luka kwa maana anazungumza vitu ambavyo sisi kama wapelelezi wa siri wa seriali hatutakiwa kuweza kuzungumza maneno kama hayo.
“Samahani”
Luka aliniomba msamaha kwa sauti ya kinyinge baada ya kugundua kwamba nimekasirika.
“Poa. Mpango wetu utaanza saa mbili usiku, kazi yetu tutaifanya kwa nusu saa tu. Tutavamia kwenye jumba lao hapo. Kuna watoto wambao wanaonekana wana ujuzi mkubwa sana katika kutengeneza mabomu. Hao tanatakiwa kuweza kuwaokoa”
Latifa na Luka wakaka kimya wakinitazama, kwa umakini kitu ambacho ninakizungumza kwa wakati huu.
“Baada ya kuwaokoa vijana hao. Luka utahusika katika swala la kuwalinda. Mimi na Latifa tutakwenda kumpokea raisi sehemu nilipo ahidi kuonana naye”
 
“Sawa”
“Kuna swali lolote munahitaji kuuliza?”
“Mimi hapa”
“Dany vipi tutatumia gari gani kwa maana kumbeba raisi inatakiwa kuwa ni jambo la siri sana na tukisha mchukua ni wapi tunamuweka kwa maana hatuwezi kukaa naye hotelini. Ukizingatia sura yake inajulikana pili anawindwa na maadui wengi?”
Swali la Latifa, likanifanya nikae kimya kwa sekunde na kufikiria ni kitu gani ambacho ninaweza kumjibu.
“Nitatafuta gari maalumu la kumchukulia sehemu ya kumpeleka mimi nitafahamu”
“Sawa, tumekuja na silaha za kutosha”
Luka alizungumza huku akifungua begi lililopo kitandani. Ndani ya begi kumejaa bastola nyingi pamoja na magazine. Huku kukiwa na viboksi vya risasi. Tukaanza kazi ya kujaza risasi magazine moja baada ya nyingine. Kazi yetu ikatuchukua lisaa zima tukawa tayari tumesha andaa bastola zipatazo kumi na mbili. Nikachukua bastola nne, Latifa na Luka waka nao wakachukua bastola nne nne. Huku kila mmoja akiwa na kiwambo cha kuzuia risasi, atakifunga pale tutakapo anza kazi yetu. 
 
“Kisu?”
Latifa alininiuliza kama ninaweza kuchukua kisu ambacho ni cha kukunja, na tunavitumia kama silaha ya mwisho pale unapokuwa umeishiwa na risasi.
“Asante”
“Jamani nahisi ubao”
Luka alilalama akimaanisha kwamba anajihisi njaa.
“Latifa agiza chakula”
“Walete huku huku juu?”
“Ndio ua kuna ubaya?”
“Hapana”
Latifa akaisogelea simu iliyopo mezani, kabla hajapiga akatuuliza tunakula chakula gani. Tulipo mtajia chakula tunacho hitaji. AKapiga simu na kuzungumza na muhudumu aliye mtajia chakula tunacho kihitaji. Nikajitupa kitandani huku nikilala chali, kidogo nikasikia maumivu ya kidonda cha mgongoni kwa mbali.
 
“Baba kijacho, mke anajifungua lini?”
Nilimtania Luka, aliye kaa kwenye sofa akicheza game kwenye simu yake.
“Mwezi ujao”
“Duu hongera bwana”
“Asante”
“Luka mtoto wako akiwa wa kike atfanana na mimi”
“Mmmmm sitaji achukue sura ya kinyaturu hiyo”
“Weee achukue sura ya kinyaturu hii, atatokelezea bomba, au unanionaje?”
“Kwenda hukoo, kwani mimi mnyaturu. Mtoto akiwa wa kike anachukua sura yangu”
“Mamamaaaa sura lako lilivyo baya, atafanya mwanao asitongozwee”
Latifa alizungumza huku akicheka na kunifanya na mimi nicheke.
“Mamaaeeee mtu akimtongoza mwanangu nauaaa”
“Nyoo wewe huyo mkeo ulimpata mbinguni, si ulimtongoza”
“Ahaaahata kama mtoto si wangu?”
“Basi mle mwenyewe”
Utani wa Latifa na Luka, ukazidi kunipa furaha hata mawazo yakapungua pungua kidogo kichwani. Simu yangu ikaita, nikaitoa mfukoni na kukuta ni K2 ndio anaye piga.
“Heii nyamazeni K2 anapiga”
Wote wakaka kimya, nikaipokea simu na kuiweka sikioni.
“Vipi Luka na Latifa wamefika?”
“Ndio”
 
“Umesha onana nao?”
“Ndio bosi nipo nao hapa”
“Ahaa sawa sawa, nilisahau kukumbia kwamba Latifa ndio anye kuja huko”
“Sawa walisha nieleza hilo”
“Ahaa sawa sawa, jipya?”
“Hakuna bosi wangu”
“Ok baadae najua unaniita bosi mbele ya wezako hao”
“Hahaaa”
“Cheka tuu, ila si ndio ukweli”
“Yaa”
“Haya mwaye baadaye”
K2 akakata simu, nikairudisha mufukoni mwagu.
“Dany unacheka hivyo na K2, si alikubumua mkofi nasikia”
“Latifa hayo yalisha pitaga”
“Ila jamani kusema kweli K2 anatupekekesha. Mamaee zake jana kanipigia simu nikijiandaa kutombw** na mpenzi wangu, sikuwa na jinsi ya kuachana na mechi na kukutana na huyu ngedere Lukaa”
“Hahaaaaa, njoo nikutomb**”
“Kwenda huko, unataka kunipa mimba kama huyo mkeo”
“Ahaaa si napiga nje”
“Kama ni kunito** ungefanya jana kwenye gari. Ila ulivyo mse** bichwa, mimacho na masikio yako yote uliyaweka barabarani”
 
“Hahaaa kwa hiyo hapo kidishi kimejaa?”
“Niachie miswali yako ya kipuuzi”
“Nuuliza, yupo bwana Dany hapa, naona yupo kimya, mpe yeye”
“Ahaaa mwanaume mzima unamuombea mwenzio ku**”
“Sasa si unaogopa shahawa zangu ni sumu zitakujaza mtoto. Tena nikimpata kutoka kwako atafanana na mimi”
“Hahaaaaaa na weusi huo utaniharibia mtoto. Dany nifwate mwaya achana na huyu Mkuria”
Latifa alizungumza huku akieleka bafuni, mimi na Luka tukabaki tukiwa tumetazamana. Luka kwa ishara akaniambia nielekee bafuni nikapewe mzigo.
“Baba changamka, toto la kinyaturu hilo. Litomb** hadi liombe pooo. Nendaa”
Luka alizungumza kwa sauti ya chini chini, nikajikuta nikinyanyuka na kueleka bafuni, nikaufungua mlango na kumkuta Latifa akiwa tayari amesha vua nguo zake huku kiganja cha mkono wake wa kulia ukisugua sugua mashavu ya kitumbua chake.

ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya