ILIPOISHIA
Eddy akabaki akiwa ametoa macho, huku akiitazama picha ya John, wasiwasi mwingi ukamjaa, akifahamu kwamba ni lazima John naye anajipanga kwa kuweza kulipiza kisasi dhidi yake. Madam Mery akageuka na kuwatazama wasichana hao, akastuka na kumgeukia Eddy.
“Vipi mbona umestuka”
“Hao wasichana ni hatari sana”
“Hatari sana kivipi?”
“Hawa ndio walikuwa walinzi wa mzee Godwin kipindi cha kampeni na waichana hawa, walikuwa magaidi wanao tafutwa, huku mwenzao mmoja akiwa ni Rahab mke wa raisi Praygod.”
Madam Mery alizungumza kwa sauti ya chinichini, huku wasiwasi mwingi ukiwa umemjaa.
“U…unataka kuniambia hawa warembo ni magaidi?”
“Ndio na kwa sasa wote wamepewa uwaziri, kwa hiyo hapo ni mawaziri”
“Mungu wangu?”
“Ndio hivyo, nchi kwa sasa inaongozwa na wendawazimu”
Gafla milio ya risasi ikaanza kusikika eneo la walilopo, katika kutazmaa tazama Eddy akawaona wanaume watatu walio jifunika nyuso zao kwa mabushori meusi, kila mmoja mkoni mwkae ameshika bunduki aina ya SMG. Wakipiga risasi hewani na kuwaamrisha watu wote kulala chini, na anaye lete ubishi anapigwa risasi.
ENDELEA
Eddy na madam Mery wakatii amri hiyo huku kila mmoja akilala chini ya sakafuni. Macho ya Eddy yakamshuhudia mmoja wasichana alio elezwa kwamba walikuwa ni magaidi na sasa ni mawaziri, akichomoa bastola yake kwenye pochi yake aliyo ishikilia. Macho ya Eddy akayaamishia kwa wavamizi hao ambao wameingia ndani ya eneo hilo. Akawaona wakianza kuwakagua mtu mmoja baada ya mwengine.
Eddy akarudisha tana macho yake kwa msichana huyo akamuona akiwa amekunja sura yake, akibabaika katika kuirekebisha risasi yake ambayo kwa haraka haraka akahisi imekwisha risasi.
“Imekata risasi”
Msichana huyo alimnong’oneza mwenzake, kwa ukimya uliopo eneo hilo Eddy aliweza kusikia sauti yake.
“Daaa na mimi sijatembea na silaha kabisa hapa”
“Oya hakuna mwenye hata magazine yenye silaha”
Sauti ya msichana huyo ambaye Eddy alitajiwa majina yao, haraka haraka ilisikika kwa mmoja wa majambazi hao, aliye geuza kichwa na kutazama watu walio lala chini ya meza.
“Oya hawa mamanzi wana wana silaha kuman**a zao”
Jambazi hayo alizungumza kwa sauti nzito huku akiikoki SMG yake tayari kwa kuwafyatulia risasi wasichana hao. Kwa haraka Eddy akaichomoa bastola yake kiunoni, kwa shambulizi la haraka ambalo hata majambazi hao hawakulitarajia, wakamshuhudia mwenzao akipigwa risasi moja ya kichwa iliyo mrudisha nyuma kiasi na kuanguka chini.
“Lu…….”
Jambazi mmoja alijikuta akikatishwa hata kutamka neno lake, alilo kusudia kumuita rafiki yake huyo, kwani risasi tatu zilitua kifuani mwake na kumuangusha chini. Jambazi aliye bakia, kwa kiwewe akajikuta akitoa magazine ya bunduki badala ya kupiga.
Akabaki akiwa ameishikilia bunduki hiyo, akampa fursa Eddy kusimama huku bastola yake ikiwa mkononi. Jambazi huyo alipo ona bunduki yake ina sua sua, akaitupa chini na kuchomoa kisu chake kirefu na kuanza kumfwata Eddy, aliye mtazama kwa umakini jinsi anavyo mfwata. Alipo karibia tu, Eddy akaruka hewani huku mguu wake wa kulia ukiachia shuti kali na zito lililo tua shingoni mwa jambazi huyo na kutupia pembeni. Jambazi huyo akanyanyuka haraka japo anayumba yumba.
Akataka kufanya shambulizi jengine, ila ngumi mfululizo zisizo na idadi, zikatua kwenye kifua chake na baadhi zikitua kwenye sura yake na kuanguka chini. Eddy akataka kumsogelea ila jambazi huyo akanyoosha mikono juu akiomba msamaha.
Mtu mmoja aliye lala pembezoni mwa jambazi huyo alipo ona jambazi huyo amesarenda, akavuta chupa yake ya bia taratibu iliyopo juu ya meza, bila ya huruma akamtandika jambazi huyo chupa ya kichwa hadi ikapasuka, kitendo kilicho mpelekea jambazi huyo kupoteza fahamu hapo hapo.
Halima, Anna, Fetty na Agnes, wote wakatokea kumshangaa Eddy kwa ujuzi mkubwa alio kuwa nao katika kupambana. Kila mmoja moyoni mwake akajikuta akitokea kumkubali kijana huyo, ambaye hadi kwa sasa hawajamfahamu jina lake.
“Madam amka”
Eddy alimfwata madam Mery na kumpa mkono, taratibu madam Mery akanyanyuka, huku akitazama tazama kila pende, huku kila mtu aliye amrishwa kulala chini na majambazi hao, akaanza kunyanyuka kwa mtindo wa kutazama tazama kama hali imekuwa shwari.
“Umeitoa wapi bastola”
Madam Merya alizungumza kwa kumnong’oneza Eddy sikioni. Eddy hakujibu kitu cha aina gani zaidi ya kutabasamu.
“Eddy tuondoke hapa, polisi wakija wataanza kukuhoji maswali”
Wazo la madam Mery, Eddy hakutaka kulipuuzia. Wakaanza kuondoka eneo hilo kuelekea katika maeneo ya kulala, ila kabla hawajatoka eneo hilo, Eddy akastukia akiitwa na sauti ya kike nyuma yake.
“Samahani sana kaka yangu naomba kuzungumza na wewe”
Msichana huyo ni moja ya wasichana ambao Eddy alielezewa na madam Mery ambaye hakutaka kugeuka nyuma zaidi yakupiga hatua kama sita mbele na kusimama akimsubiri Eddy.
“Kwa jina ninaitwa Agnes, ni waziri wa Maliasili na utalii”
“Nashukuru kwa kukufahamu”
Eddy akajibu na kutaka kuondoka ila Agnes akamshika mkono na kumzuia.
“Samahani ninaomba kukuuliza maswali machache kama huto jail”
“Samhani dada, sipo tayari kwa kujibu maswali yako kwa sasa”
“Ok basi ninamba nikupe namba yangu ya simu”
Agnes akatoa kikadi kidogo chenye namba yake ya simu na kumkabidhi Eddy, aliye kitazama kwa sekunde kadhaa, akisoma jina la Agnes pamoja na cheo chake alicho nacho.
“Naomba unipigie simu hata kesho ninamazungumzo na wewe muhimu”
“Poa usijali”
Eddy akageuka na kuondoka na kumuacha Agnes akimtazama kwa macho ya matamanio, hadi Eddy na madam Mery wanapotea mbele ya macho yake kwa kukata kona ya kuelekea sehemu nyingine kwenye hoteli hiyo, ndipo Agnes alipo amua kurudi walipo simama wezake.
“Vipi umefanikisha”
Halima akawa wa kwanza kuuliza swali, lililo mfanya Agnes kutabasamu kidogo.
“Chezea mimi wewe”
“Ila anaonekana ana mapozi eheee?”
“Ahaaa mapozi yake yataisha mbele ya pesa, akijisumu kunipigia simu tu basi amekwisha, nitahakikisha anakuwa wangu”
“Mmmm, ila hata mimi nimetokewa kuvutiwa naye”
Halima alizungumza huku akicheka na kumfanya Agnes kupoteza furaha na kuachia msunyo wa kukereka.
“Mmmmm mama mtu hujampata tayari umesha kuwa na wivu naye”
“Wivu ni muhimu”
“Sasa kwa mfano akiwa ni mume wa mtu utafanyaje?”
“Weee huyo mkewe asubirie vita kwa maana nitampokonya hivi hivi akiona”
“Hhahaaaaaaa, Mungu wangu nyinyi kumbukeni ni viongozi”
Fetty alizungumza huku akicheka.
“Viongozi bongo, ningekuwa kiongozi ulaya hapo sawa”
“Hahaaaa Agnes kumbe una wivu hivyo eheee, leo ndio nimegundua”
Fetty aliendelea kuzungumza huku akiwa amejawa na furaha.
“Ila jamani, tunatakiwa huyu kaka kujua kazi yake, kwa maana ana uwezo mkubwa sana wakupambana”
Anna aliwashauri wezake huku akiwatazama kwa macho ya umakini.
“Ahaaa wasiwasi wako, kama ni usalama wa taifa je utanaka akuambie kama yeye anaifaaya kazi hiyo”
Agnes alizungumza huku akiwa amemkunjia sura Anna aliye toa wazo hilo. Hawakuhitaji kuendelea kukaa eneo hilo, kila mmoja akaondoka na kurudi nyumbani kwake kwa mana starehe yao kwa siku hiyo imeingia shubiri.
***
“Honey nimesikia milio ya risasi huko nje, kuna nini?”
Phidaya alimuuliza Eddy mara baada ya kuingia ndani na kumkuta akiwa amesiama huku amejawa na wasiwasi mwingi.
”Kuna vijambazi vitatu vilivamia hapa”
“Vijambazi?”
“Ndio, vipuuzi vitatu hivi. Nimewaua wawili na mmoja nimemzimisha”
“Eddy umeua mume wangu?”
“Kwani mke wangu nimefanya kosa, kwa maana ningewaacha wangeniua mimi”
Phidaya akamkumbatia Eddy huku machozi yakimlenga lenga.
“Nakupenda sana Eddy wangu, niliogopa kutoka, ila nilikuwa na waasiwasi mkubwa juu yako”
“Usijali nimerudi salama mke wangu”
Joto al kukumbatiana, likazalisha hisia nzito za mapenzi, Phidaya akaanza uchokozi wa kuipitisha kiganja cha mkono wa kulia kwenye tango la Eddy lililo anza kukaza taratibu.
”Honey nina hamu na wewe”
“Hata mimi pia nina hamu na wewe mke wangu”
Safari ya kupeana utamu na uhondo wa ndoa ukaanza, japo kumbukumbu za Shamsa, zikaanza kujirudia kichwani mwake, kila alipo zidi kuongeza mwendo wa kumpatia raha Phidaya.
***
Milio ya risasi ikamfanya Rahab na raisi Praygod kustuka, wakiwa katikati ya kupeanza raha za kitandani.
“Si milio ya risasi hiyo?”
Raisi Praygod alizungumza huku akikatisha zoezi la kuchochoa moto kwenye tanuri la Rahab.
“Ndio tena huo ni mlio wa SMG”
“Ina maana tumestukiwa uwepo wetu humu ndani?”
“Sidhani”
Rahab alizungumza huku akimsogeza taratibu mumewe aliye kuwa juu yake. Akashuka kitandani, kwa haraka akafungua kabati walilo weka nguo. Akachukua suruali aina ya jinzi na kuivaa haraka haraka, kisha akavaa tisheti kubwa pamoja na raba.
“Unatoka huko nje?”
Raisi Praygod alizungumza huku akijifunga taulo kiunoni akionekana dhairi kwamba anawasiwasi ulio changanyikana na woga.
“Ndio nataka kwenda kupeleleza ni kina nani, la sivyo tunaweza kujikuta tunaingia kwenye matatizo hivi hivi”
“Sawa, sa……saa he…m…bu vaa hiyo kepu”
Rahab akachukua kofia yake na kuivaa, kwa tahadhari akafungua mlango wa chumba chao, akachungulia kwenye kordo. Hakuona dalili ya mtu yoyote kuweza kutoka katika chumba chake. Rahab akaanza kutembea kwa tahadhari hadi karibu na eno inapo tokea milio hiyo. Akachungulia kwenye eneo hilo, akamshuhudia Eddy akipambana na mtu mmoja anaye onekana ni moja kati ya watu walio vamia eneo hilo. Akataka kutoka kwenda kumsaidia Eddy, ila akatulia baada ya kumuona Anna, mmoja wa marafiki zake akinyanyuka na kutazama kama purukushani hilo limekwisah baada ya jambazi huyo kuonyesha kusarenda kwa kunyoosha mikono juu.
‘Wamefwata nini hapa hawa?’
Rahab alijiuliza huku akimtazama Anna anavyo shuhudia tukio hilo, kitu kilicho mstua Rahab zaidi ni jinsi alivyo waona Halima, Agnes na Fetty wakinyanyuka kutoka sakafuni.
“Mungu wangu”
Rahab akataka kuondoka, ila akajikaza kutazama vizuri kama ni kweli ni rafiki zake wa wazamani au laa. Watu alio waona hawakuwa tofauti na alivyo watazama kwani ni wale wale marafiki zake alio shirikiana nao kwenye matukio mengi machafu ya kigaidi. Rahab akaondoka eneo hilo huku akiwa na mawazo mengi kichwani mwake.
“Vipi, kuna nini huko?”
Raisi Praygod aliuliza huku akionekaa kujawa na wasiwasi mwingi. Rahab ahakujibu kitu cha aina yoyote zaidi ya kukaa kitandani huku akionekana kupoteza furaha kabisa.
“Honey nieleze kumetokea nini huko?”
“Ni majambazi wadogo wadogo, ila Eddy amesha kabiliana nao”
Raisi Praygod akashusha pumzi nyingi, huku jasho likimwagika usoni mwake.
“Ila nimeonana na Agnes, Anna, Halima na Fetty”
“Kweli?”
“Ndio na wanavyo onekana hawafahamu chochote kuhusiana na sisi kuwepo hapa”
“Sasa hakikisha kwamba huonani nao, kumbuka ni watu wa Godwin”
“Nalitambua hilo”
“Ngoja nikaonane na Eddy”
“Hapana Pray, kumbuka unajulikana na endapo watakuona tambua kwamba roho yako wataisaka na kazi yetu itakuwa ngumu”
“Sawa”
Raisi Pragod alijibu kwa unyonge huku taratibu akipandisha miguu kitandani kwa ajili ya kulala.
***
Asubuhi na mapema, raisi Praygod akakutana na Eddy katika sehemu ya kupatia kifungua kinywa. Eddy akamuelezea hali nzima aliyo kutana nayo jana usiku dhidi ya majambazi walio vamia katika eneo hilo.
“Umefanya kazi nzuri, ila unatakiwa kuwa makini sana, si unatambua kwamba tupo katika kazi maalumu”
“Ndio ninalitambua hilo muheshimiwa. Uzuri mwengine ni kwamba nimefanikiwa kupata namba ya Agnes, waziri wa maliasili na Utamaduni”
“Namba yake unahisi inaweza kuwa na msaada kwetu?”
“Ndio tena itakuwa na msaada mkubwa sana, kwa maana kupitia yeye tutaweza kufahamu ni nini ambacho serikali yao inaweza kufanya na sisi tutajua ni jinsi gani tunaweza kuwaangusha”
“Wazo zuri, ila kama kweli unaamua kufanya hivyo basi hakikisha kwamba Phidaya anaweza kuelewa kila jambo isije ikatokea mipango yetu ikaharibika kutokana na wivu wake wa mapenzi”
“Sawa. Alfu nilita……..”
Eddy akanyamaza kwa maana akaona sio maamuzi mazuri endapo atamuelezea raisi Praygod kitu kilicho tokea kati yake na Shamsa.
“Ulitaka kufanyaje?”
“Ahaa nitakueleza siku nyingine, ngoja sasa hivi nifanye mchakato wa kutafuta simu, niwasiliane na huyu Agnes, hapo ndipo kazi yetu itakapo anzia”
“Sawa”
Eddy akamalizia kupata kifungua kinywa, akaagana na raisi Praygod na akaondoka eneo la hotelini. Akakaodi pikipiki iliyo mpeleka hadi Posta, akaingia kwenye moja ya duka la simu. Akanunua simu aina ya Iphone 6, ambayo anaamini itamuwezesha katika kupanga mipingo yao hata kwa kupitia mtandao. Akachongesha laini ya simu.
“Baada ya nusu saa itaanza kufanya kazi”
Dada muhudumu wa mtandao huo wa simu, alimpa maelekezo Eddy aliye sajili namba hiyo kwa jina la Erickson Forrd analo litumia kwenye hati yake ya kusafiria.
“Nashukuru dada”
“Na hii ni chenchi yako?”
“Ohooo utakunywa maji”
Eddy akamuachia dada huyo chichi iliyo baki katika noti ya shilingi elfu kumi, baada ya kupata huduma hiyo ya kutengenezewa kadi ya simu.
“Lazima niwe na usafiri, la sivyo kila kitu kinaweza kuwa kigumu. Nisiwaamini hawa madereva taski na bodaboda”
Eddy alizungumza mwenye baada ya kutoka katika jengo hilo linalo shuhulika na huduma za mawasiliano kwa mtandao alio amua kuuchagua. Akasimama na kuangalia pande zote za eneo hilo. Kwa ishara akamuita dereva taski mmoja aliye kutanisha naye macho. Dereva taski huyo, akaingia kwenye gari lake haraka na kumfwata Eddy hadi pale alipo simama.
“Naomba unipeleke kwenye moja ya show room za magari”
“Sawa kaka”
Wakaondoka eneo hilo na moja kwa moja wakaelekea kwenye moja ya show room, inayo uza magari ya kisasa kabisa.
“Naomba usnisubiri”
“Sawa kiongozi”
Eddy akashuka kwenye gari na kuingia katika eneo hilo. Akaona gari moja aina ya BMW 5series, akaiulizia bei kwa muhudumu wa eneo hilo.
“Hii ni dola elfu tatu na miatano”
“Sawa na shilingi ngapi?”
“Milioni saba na laki tatu hivi. Hiyo inategemea na reti ya siku ya leo”
“Si munaweza kunisaidia kuisajili kila kitu TRA?”
“Ndio ila gharama hizo zote zitakuwa zipo juu yako”
“Hilo halina tatizo”
Eddy akafanay malipo yote hadi ya gari hiyo kusajiliwa. Ndani ya masaa mawili akakabidhiwa gari lake likiwa limekamilika kila kitu. Akamlipa dereva taski aliye mpeleka mmoja wa wafanyakazi wa ofisi hiyo maeneo mbalimbali kufwatilia usajili wa gari hilo. Eddy akaondoka na gari lake hadi kwenye moja ya kituo cha mafuta. Akajaza mafuta ya kutosha kisha akatafuta sehemu iliyo tulia na kumpigia Agnes.
“Nani mwenzangu?”
Sauti nyembamba na yakuvutia ikasikika upende wa pili wa simu, hadi ikamfanya Eddy kuiangalia tena simu hiyo na kuihakikisha kwamba namba aliyo ipiga ni sahihi au si sahihi. Akakuta hajakosea chochote sema, sauti ya Agnes aliyo zungumza nayo jana usiku na leo zina tofauti kubwa sana.
“Unazungumza na mtu uliye mpa bussines card yako jana usiku”
“Waoo mambo vipi handsome boy”
“Safi tu, nimeona niweze kukupigia, kwa maana jana sikuwa vizuri baada ya lile tukio”
“Usijali, hata mimi nililielewa hilo ndio maana nikakupatia namba yangu. Vipi upo wapi?”
Agnes alizungumza kwa sauti iliyo jaa furaha kubwa.
“Nipo maeneo ya Posta, sijui wewe upo wapi?”
“Ohooo mimi nipo Bagamoyo, ila bye saa tisa alasiri nitakuwa nipo Dar, sijui tunaweza kuonana?”
“Ndio ni wewe ukifika utanijulisha ni wapi ulipo basi mimi nitakufuata”
“Sawa handsome boy wangu”
Agnes akakata simu, Eddy akawasha gari lake na kurudi hotelini. Kwa msaada wa raisi Praygod wakazungumza na Phidaya na kumuelezea juu ya mpango mzima unavyo kwenda, japo kwa mara ya kwanza Phidaya akaonekana kutokukubali kwa kuona mume wake anaweza kwenda kinyume na kiapo cha ndoa yao. Ila kwa ushawishi wa wanaume wawili walio jaliwa uwezo mkubwa wa ushawishi akajikuta akikubali.
“Ila niahidi huto mnaniii sana kama unavyo ninanii mimi”
Phidaya alizungumza kwa kudeka na kumfanya raisi Praygod kutabasamu, Eddy akashindwa kuvumilia ikambidi kucheka kabisa.
“Unanicheka si ndio?”
“Hapana mke wangu sikuwa na maana hiyo, usijali katika hilo nitahakikisha kwamba simnanilio kama unavyo sema”
“Usimnanili nini?”
“Ahaaa honey imeeleweka”
Wakapata chakula cha mchana pamoja, wakiwa wanaendelea kula, simu yake ikaita. Eddy akatambua kabisa kwamba ni Agnes kwa maana mtu mwengine aliye mpatia namba yake ya simu ni raisi Praygod tu.
Akaitoa na kuipokea.
“Ehee mimi nimesha fika Dar”
“Ila saa tisa haijafika”
“Niliamua kuvunja ratiba yangu niweze kuonana na wewe.”
“Sawa nakusikiliza”
“Mimi naelekea nyumbani, mmmmmmm sijui unaweza kuja kwangu?”
“Nielekeze mimi nitafika hapo”
Agnes akaanza kutoa maelekezo ambayo kwa haraka haraka Eddy aliweza kupafahamu anapo ishi Agnes kwa manaa ni mtaa mmoja na ilipo nyumba yake ambayo haitumiki kwa sasa.
“Ok nipatie dakika kumi nitakuwa nimefika hapo”
“Sawa”
Eddy akakata simu na kumalizia kula, kila alipo mtazama Phidaya alihisi kucheka kwa maana Phidaya amenuna. Eddy akanyanyuka kwenye kiti na kumbusu mdomoni .
“Honye niombee”
“Sawa”
Eddy akaondoka, akaingia kwenye gari lake, safari ya kwenda kwa Agnes haikuchukua muda mwingi akawa amefika kwenye nyumba moja ya gorofa iliyo jengwa vizuri.
“Nikusaidie nini ndugu?”
“Naihitaji kuonana na waziri”
“Ok ameacha maagizo, pita ndani”
Eddy akaingia ndani, akaegesha gari lake sehemu maalumu ya maegesho. Agnes akatoka ndani kwake akiwa amevalia suruali iliyo mbana na kuyafanya maungo yake kuchoreka vizuri huku, makalio yake makubwa yakitingishika kila anavyo tembea.
“Karibu handsome wangu”
“Asante kiongozi”
Wakakumbatiana kwa sekunde, wakaingia ndani huku Agnes akiwa ametangulia mbele ili kumtega vizuri Eddy kwa kumtingishi makalio yake.
“Unatumia kinywaji gani?”
“Mmmm, chochote tu”
“Chochote, hata kilevi?”
“Yaa chochote tu”
Agnes akafungua friji na kutoa chupa kubwa ya Amarula, akaiweka mezani akachukua glasi mbili na kila mmoja akamimina kiasi cha kutosha. Akamkaribisha Eddy.
“Unaitwa nani?”
“Erickson”
“Waoo una jina zuri”
“Asante”
Kabla Agnes hajazungumza kitu chochote, simu yake ikaita na kumfanya aichukua mezani alipo iweka. Akaipokea huku sura yake ikionekana kuwa na mashaka.
“Upo getini”
“Ingia tu ndani”
Agnes akakata simu, akaachia msunyo mzito huku sura yake akiwa ameikunja.
“Vipi mbona misunyo tena?”
“Ahaaa kuna rafiki yangu anakuja basi ni tabu tupu”
“Tabu ya nini?”
“Ahaaa mimi ninahitaji kutulia, yaani ningejua bora hata tungekutana hotelini”
Mlango wa kuingilia sebleni mwa Agnes ukagongwa na kumfanya anyanyuke na kwenda kuufungua. Sauti za makelele ya kike zikasikika na kumfanya Eddy kustuka. Wakaingia wasichana wengi huku mmoja akiwa ameshika keki kubwa huku wakiimba wimbo wa’ Happy birthday to you’. Wasichana hao wanao onekana kwamba ni miongoni mwa wafanyakazi wezake huku watatu wengine aliwaona jana usiku wakiwa na marafiki zake Agnes hawakumtisha sana Eddy. Ila msichana wa mwisho kuingia hapo ndani ndio alimstua Eddy na kumfanya asimama huku akiwa amemkodolea macho. Hakuwa mwengine bali ni MANKA, msichana ambaye ni dada yake wa damu moja, ila ni adui yake namba moja.
SORRY MADAM (81) (Destination of my enemies)
Eddy akashusha pumzi taratibu huku akiwatazama wasichana hao walio ingia na kuanza kumkumbatia Agnes na kumpiga mabusu ya shavu. Hakutaka kabisa kumtazama Manka ambaye alimtazama kwa muda na kuachia tabasamu pana. Wasichana baadhi wakawa wamemkazia macho Eddy, kila mmoja aliwaza lake kichwani mwake.
“Kaleteni maji tumuogeshe”
Msichana mmoja alizungumza na kumfamfanya msichana mmoja kati ya wasichana aliye waona jana usiku kuondoka hapo sebleni na kuelekea jikoni, akarejea akiwa ameshika kindoo kidogo kilicho jaa maji. Pasipo kujali wakamwagia Agnes maji yote huku wakishangilia.
“Jamani ni suprize gani hii?”
Agnes alizungumza huku akitabasamu.
“Wewe ulitaka tukuambie ili utukimbie”
“Fetty kweli mumeniweza leo”
Eddy hakuzungumza chochote zaidi ya kuyakwepesha macho yake na Manka ambaye mara kadhaa alimtazama Eddy huku akiiachia tabasamu. Wakaiweka keki mezani na kuizunguka, mmoja wao akawasha kiberiti na kuiwasha mishumaa midogo iliyopo juu ya keki hiyo.
“Haya mtoto njoo uzime mishumaa”
Agnes akainama karibu na meza, akaipuliza mishumaa hiyo, iliyo zimika kwapamoja, watu wote wakashangilia.
“Weee Paulina umeacha Shampen kwenye gari”
“Ohooo ngoja nikailete”
Paulina akatoka na baada ya muda akarudi na mizinga mitatu ya shampen, akamkabidhi Anna, Halima na Fetty, wote kwa pamoja wakazifungua chupa hizo na kuwafanya wasichana wengine kushangilia.
“Jamani kabla hatujaendelea mbele ninahitaji kuwatambulisha”
Agnes alizungumza maneno yaliyo wafanya watu wote kukaa kimya na kumsikiliza. Manka moyo wake akaihisi unataka kutoka kwa kumdunda, baada ya kuyasikia maneno hayo ya Agnes. Agnes taratibu akapiga hatua hadi alipo simama Eddy, akaupitisha mkono wake wa kulia kiunoni mwa Eddy huku mkono wa kulia akiuweka kifuani mwa Eddy.
“Jamani huyu ni mchumba wangu, anaitwa Erickson Forrd”
“Erick hawa ni marafiki zangu, yule pale anaitwa Fetty, yule pale anaitwa Halima, yule pale anaitwa Anna na huyu hapa anaitwa Manka. Hawa wengine ni wafanyakazi katika wizara yangu”
Agnes alizungumza kwa sauti ya kujidai, kitu kilicho zidi kumuumiza Manka moyo wake.
“Nashukuru kuwafahamu”
“Hata sisi shemeji”
Mmoja wa wasichana alizungumza na kumfanya Eddy kutabasamu. Halima akeelekea kwenye friji akarudi akiwa emebeba mizinga mikubwa ya wicky.
“Jamani ni self service sasa nyinyi shangaeni shangeni”
Halima alizungumza huku akijimiminia wcky kwenye glasi.
“Honey utatumia hii?”
“Hapana, naomba unielekeze toilet”
Eddy alimnong’oneza Agnes sikioni mwake. Agnes akamshika Eddy mkono na kuwaeleza wezake kwamba wanarudi muda si mrefu. Wakaondoka sebleni huku Agnes akiwa amemshika mkono Eddy. Manka akawasindikiza kwa macho nusu machozi kumtoka ila akajikaza ili asijulikane.
“Vipi Manka mbona macho yamekuwa mekundu gafla?”
Halima alimuuliza Manka, baada ya kumtazama jinsi anavyo watazama Agnes na Erickson.
“Ahaa hapana kichwa kidogo kinanisumbua”
“Nikuletee dawa”
“Hapana, mimi ngoja niondoke nikapumzike nyumbani”
“Ila shuhuli haijaisha”
“Tutaonana baadaye hotelini kwenye tafrija tuliyo panga”
“Sawa, ila kuwa makini barabarani”
“Usijali”
Manka akachukua kipochi chake kidogo kwenye sofa, akawaaga watu wengine na kuondoka, moyoni akiwa amejawa na uchungu mwingi kiasi kwamba akahisi kufa kufa. Akaingia kwenye gari lake, na kuondoka kwa kasi hadi mlinzi akabaki amemkodolea macho.
Agnes na Eddy wakaingia wote choo kilichopo ndani ya chumba cha Agnes. Eddy akashusha pumzi nyingi akijitahidi kuishusha hasira yake ya kumuona Manka mbele ya macho yake.
“Honey mbona unashusha pumzi hivyo?”
“Ahaaa ujue sikutegemea kuona watu wengi wakija kwako”
“Yaani wee acha tuu mimi wameniboa, japo kuwa leo ni siku yangu ya kuzaliwa, ila wasinge nifanyia suprize kama hii”
“Mmmm mimi huko nje sitoki tena”
“Jamani honey, unaogopa wasichana eheee?”
“Sio nawaogopa kwa maana sipendi kukaa karibu na watu wengi”
“Basi nisubirie humu ndani nikawazuge zuge kisha nitarudi baada ya muda mfupi sawa baby”
“Poa”
Agnes akambusu Eddy mdomoni na kutoka chooni. Eddy akasubiria kwa muda hadi alipo sikia mlango wa chumbani ulipo fungwa, akatoka chooni na kusimama nje ya mlango wa choo hicho na kuanza kuangali jinsi chumba cha Agnes kilivyo pangika vizuri. Kwa asilimia kubwa chumba cha Agnes kimejaa midoli mingi sana huku kitanda chake kikiwa ni cha duara.
“Wanao kula pesa ya serikali hawa”
Eddy alizungumza huku akijirusha kwenye kitanda hicho kinacho onekana ni kitanda cha gharama sana.
‘Kama Manka hajanijua basi kazi yangu inakwenda kuwa rahisi sana’
Mlango ukafunguliwa, Agnes akarudi huku akiwa na furaha. Agnes akajirusha kitandani na kulala pembeni ya Eddy.
“Mbona umewahi kurudi hivyo”
”Ahaa watu wameondoka wamekwenda kujiandaa badae kuna pati wameamua kunifanyia Serena Hotel”
“Waoooo hongera”
“Asante ila honey si tutakwenda wote?”
“Sawa, ila si kutakuwa na watu wengi?”
“Hapana ni watu wachache walio alikwa”
“Mmmmm basi sawa tutakwenda”
“Kweli baby?”
“Ndio”
Kwa furaha Agnes akampandia Eddy juu na kumkalia kiunoni, kwa mara ya kwanza wakaanza kunyonyana midomo, kila Eddy alipo pitisha mikono yake Agnes alitoa miguno ya raha, iliyo fufua uhai wa tango la Eddy.
“Erickson nakupenda sana”
Agnes alizungumza huku, akizidi kulegea. Kwa jinsi Eddy alivyo yaminyaminya maziwa yake ndivyo jinsi Agnes alivyo zidi kuchanganyikiwa na kupagawa. Agens akavua nguo zote na kubaki kama alivyo zaliwa. Akamvua Eddy nguo zake zote, kitu kilicho mfanya Agnes kushangaa ni tango la Eddy lilivyo simama huku likinesa nesa.
“Ahaaaaaa….”
“Mbona unashangaa?”
“Mmmmm”
Agnes aliguna huku akilishushia tango la Eddy mdomo taratibu hadi kwenye lipsi zake , akautoa ulimi wake taratibu na kuanza kuuchezesha chezesha kila upande wa tango hilo na kumfanya Eddy kutoa miguno. Agens akalidumbukiza nusu ya tango mdomoni mwake na kuanza kulinyonya taratibu.
Kwa midadi Eddy akamchomoa Agnes kwenye tango lake na kuminamisha kitandani, kazi ya kulila tunda la Agnes ikaanza.
“Eri…….. Uuu…..unaniu……aaa”
Agnes alizungumza huku aking’ata shuka lake, kwa maana kwa kasi anayo kwenda nayo Eddy, hakuwahi kukutana nayo kwenye maisha yake hata kipindi alipo kuwa anajiuza hakuwai kukutana na mwanaume kama Eddy anaye mjua kwa jIna la Erickson Forrd. Kwa utamu anao upata Agnes akajikuta akimwagikwa na machozi mengi, huku akiendela kujitahidi kuling’ata shuka lake. Kwa dakika ishirini pasipo kupumzika, Eddy akafika kileleni na kumuachia Agnes, aliye lala kifudifudi huku akihema taratibu kana kwamba anataka kupoteza fahamu. Baada ya muda Agnes akajigeuza taratibu na kulala chali huku akimtazama Eddy kwa macho ya kusinzia.
“Eheeee Erickson ungeniua aisee”
“Kwa nini?”
“Mmmm sijapata ona, yaani umenipelekesha hadi nimekojoa zaidi ya mara sita”
“Pole”
“Pole ya nini wakati umenifanya kitu ambacho hakuna mwaume aliye wahi kunifanya”
“Usijali nitakufanya hivi kila siku”
“Mmmmm utanifanya nimuue yoyote atakaye kutamani”
‘Amuue yoyote, na Phidaya je?’
Eddy aliwaza akilini mwake huku akimtazama Agnes huku akiwa ametabasamu.
“Mimi nina wivu sana, sitaki hata mwanamke mmoja akushike hata mkono”
“Sasa huo utakuwa ni wivu wa kijinga kwa maana mimi nimtu mzima ambaye najitambua”
Eddy alizungumza kwa sauti ya msisitizo iliyo mfanya Agnes kukaa kimya kwa maana ndio kwanza penzi lake linaanza na isitoshe hajamchunguza Erickson na wala hawakuzungumza chochote juu ya hayo mahusiano waliyo yaanzisha zaidi ya yeye kuwa na kiherehere cha kumtambulisha kwa marafiki zake.
“Ok tuachane na hayo honey, hivi nyumbani kwako wewe ni wapi?”
“Ahaa mimi naishi Mbezi”
“Mbezi ipi?”
“Mbezi ya kimara”
“Ahaaaa, usione ninakuuliza maswali mengi ila si unajua ni vyema kuweza kujua mpenzi wako anafanya nini, anaishi wapi hata kukitokea tatizo iwe ni rahisi kuweza kujua mtu unaanzia wapi”
“Ni kweli”
Agnes akataka kumuuliza Erickson ni kazi gani anayo ifanya ila akasita ili kutoa kuiharibu furaha ya mpenzi wake huyo kwa maana kwa haraka haraka Agnes aligundua kwamba Erickson ni mtu mwenye hasira za karibu sana.
“Nakuomba nioge, kisha nikimbie nyumbani haraka kwenda kubadili nguo kisha nitarudi hapa kwako twende wote pamoja kwenye sherehe yako”
“Sawa mpenzi twende tukaoge”
Wakanyanyuka kwa pamoja na kuelekea bafuni, huku Agnes akiwa amejawa na furaha kubwa.
***
Shamsa kwa siku nzima furaha yake akaihisi inakwenda kupotea, kwani tangu mke asubuhi hajamuona Eddy hadi inafika jioni. Akaelekea chumbani kwa Eddy na kugonga, ila hakujibiwa, akajaribu kusukuma mlango akakuta umefungwa. Akaondoka na kuelekea sehemu ya baharini kwenye vibanda vingi vya kupumzikia. Akamkuta Phidaya akiwa amekaa peke yake huku akioneka kuwa mwingi wa mawazo.
“Mama”
Shamsa aliita huku akikaa kwenye kiti cha pembeni, Phidaya akamgeukia huku macho yake yakiwa yamelengwa lengwa na machozi.
“Mama mbona unalia”
Phidaya akajifuta machozi yake kwa haraka haraka.
“Ahaa hapana hakuna kitu”
“Mama ninakujua vizuri, kwa nini unalia. Niambie tafadhali kama kuna tatizo ninaweza kukusaidia hata kwa mawazo”
Shamsa alizungumza huku akiwa na wasiwasi moyoni mwake akihisi labda ishu aliyo ifanya jana na Eddy imegundulika. Phidaya hakuzungumza kitu chochote zaidi ya kukaa kimya huku akishindwa kuyazuia machozi yake kumshuka usoni.
“Mama niambie basi”
“Ni Eddy”
“Eddy, amefanyaje?”
Shamsa alizungumza huku wasiwasi ukianza kumuenda mbio ukitwaliwa na wasiwasi mwingi sana.
“Eddy ananisaliti kwelii…….”
Shamsa akatamani ardhi ipasuke, na aingie kwa maana akilini mwake, akagundua ukweli wa mambo umesha julikana na kitu anacho kwenda kukizungumza Phidaya ni kumdhibitishia kwamba anafahamu kila kitu. Japo kuna upepo mwanana wa bahari ila jasho lilianza kumwagika Shamsa.
“Hivi kweli Junio angekuwa hai, Eddy angenisaliti kweli?”
Phidaya alizidi kuzungumza maneno yaliyo muweka Shamsa njia panda na kushindwa hata kuuliza, Eddy amemsaliti vipi.
“Mama nakuomba unyamaze tu”
Kabla Phidaya hajazungumza, wakamuona Eddy akija kwa mwendo wa kasi katika eneo hilo. Shamsa kwa haraka akafuta machozi yake na kujikausha kama si yeye aliye kuwa analia, hata Shamsa mwenyewe akakaa kimya.
“Honey naomba funguo”
Eddy alizungumza pasipo kumsalimia mtu yoyote, Shamsa aliweza kuligundua hilo kwamba ni kwasababu ya yeye kuwapo katika eneo hilo ndio maana Eddy anazungumza kwa ukali. Kwa unyonge Phidaya akatoa funguo kwenye mfuko wa suruali yake na kumkabidhi Eddy.
“Leo naweza nisirudi kabisa”
“Kwa nini?”
Shamsa aliuliza kwa wasiwasi huku akimtolea macho Eddy, ila jicho alilo kutana nalo kwenye sura ya Eddy likamfanya Shamsa kukaa kimya kabisa na kuto kutamani kuuliza tena swali lolote. Eddy akaondoka na kumuacha Phidaya kwenye majonzi makubwa. Eddy moja kwa moja akaelekea chumbani, akatafuta nguo alizo hisi zitamfaa, akavaa. Alipo hakikisha amependeza kutokana na nguo hizo. Akachukua bastola yake yenye magazine iliyo jaa risasi za kutosha.
‘Am sorry Phidaya mke wangu. Nipo kazini inanibidi kuwa hivi’
Eddy alizungumza kimoyo moyo huku akisimama mbeke ya kioo, akajitazama vizuri na kujiweka vizuri nguo yake. Akachukua kiasi cha kutosha cha dola kutoka kwenye suruali yake aliyo kuwa ameivaa. Akafungua mlango na kutoka, akaanza kutembea kwenye kordo ndefu ya hoteli hiyo.
“Eddy Eddy”
Sauti ya Madam Mery ikamfanya Eddy kusimama na kugeuka nyuma. Madam Mery akamfwata huku akiwa ameshika tablet yake mkononi mwake.
“Vipi?”
“Naelewa ni ishu gani ambayo inaendelea, ila nina taarifa ambayo ninahitaji kukupatia”
Madam Mery alizungumza huku akiminya minya kioo cha tablet yake. Akaanza kumuonyesha Eddy ni kitu gani alicho panga kumuambia.
“Shambulizi limepangwa kufanyika katika ukumbi wa Dar Live, kesho kwenye show ya msanii kutoka Marekani”
“What…..?”
“Ndio hii ni taarifa waliyo iweka kwenye mtandano na nimesha mueleza kila mmoja juu ya hii taarifa, wewe ndio wa mwisho kukueleza. Na mheshimiwa raisi alisha nieleza swala zima unalo lifanya”
“Basi sawa asubuhi nitakuwa hapa, hakikisha kila jambo linakwenda kimya kimya na asijue mtu mwengine zaidi ya sisi saba”
“Sawa”
Eddy akaondoka, kabla hajafika maeneo ya maegesho ya magari akakutana na Shamsa akiwa amefura kwa hasira, akamzuia Eddy.
“Pisha nipite”
“Sitaki, hivi unaakili kweli wewe?”
“Unapo zungumza na mimi utambue unazungumza na nani sawa”
“Hata kama, ila si kufanya kazi ya kijinga kama hii. Hivi unadhani kwamba sisi hatuumii mioyo yetu eheeee”
Eddy akatazama kila pande hakuona mtu karibu yao anaye watazama, kisha akamgeukia Shamsa na kumtazama na macho makali yaliyo jaa hasira hadi Shamsa akatetemeka.
“Ungekuwa na moyo usinge jiingiza kwenye njia yangu. Heshima ibaki kuwa pale pale, kakae na Phidaya umfariji”
Eddy akampiga kikumbo Shamsa na kuondoka, akaingia kwenye gari lake na kuondoka na kumuacha Shamsa akishangaa sana.
***
Eddy akafika nyumbani kwa Agnes na kumkuta akiwa amesha maliza kujiandaa.
“Tunatumia gari lako au la kwangu?”
Agnes alimuuliza Eddy mara baada ya kushuka kwenye gari.
“Mmm naona tutumie langu”
“Ok ngoja nirudishe funguo ndani”
Agnes akaondoka huku akiwa ataingishika makalio yake, hadi Eddy akajikuta akiguna na kuachia tabasamu pana usoni mwake.
“Kweli wanawake hawa wameumbwa”
Agnes baada ya muda akarudi huku akitembea kwa mwendo wa haraka. Agnes aliweza kupendeza kwa gauni refu jeupe lenye mpasuo mkubwa hadi kwenye paja.
“Umependeza honey”
“Kweli?”
“Ndio, hata wewe pia umependeza mume wangu mtarajiwa”
“Asante”
Wakaingia kwenye gari na kuondoka, hawakuchukua muda sana wakafanikiwa kufika Serena Hoteli. Agnes akampigia simu Halima na kumuuliza ni ukumbi gani walipo. Halima akawapa maelekezo yote. Wakashuka kwenye gari na kuelekea ndani. Kutokana Agnes yupo na mpenzi wake, hakukaguliwa na polisi pasipo kugundua kwamba Eddy ameingia na silaha. Ndani ya ukumbi huo ulio pambwa vizuri kuna idadi chache ya wageni waalikwa huku wengi wao wakiwa ni viongozi ngazi ya juu serikalini.
“Honey kakae meza ile, mimi nimeandaliwa kukaa hapa mbele”
“Sawa hakuna shida”
Eddy akaka kwenye meza yenye viti vinne tu iliyo pambwa vizuri ambayo ipo tofauti sana na meza nyingine. Watu wakaendelea kuingia taratibu huku wakipatiwa vinywaji kila pale walipo kaa kwenye meza zao huku mshereheshaji akimuamuru Dj kupiga nyimbo nzuri za kuvutia.
“Jamani hii ni kama suprize kwa waziri wetu Agnes, kwa mana hakutarajia ujio kama huu wa watu katika siku kama hiiya leo”
Mshereheshaji alizungumza, akawaomba watu wote kusimama. Wakatii hadi Eddy mwenyewe. Mshereheshaji akawaalika wageni rasmi. Ambao walianza kuingia ndani ya ukumbi huo wenye mlango nyuma. Eddy na wageni wengine waalikwa wakageuka kuangalia ni wageni gani hao rasmi. Macho yakamtoka Eddy baada ya kuwaona raisi Godwin akingiia ukumbini hapo huku mbele yake akimuona John akisukumwa kwenye kiti cha matairi, na wote wakapitiliza moja kwa moja hadi kwenye meza ambayo Eddy ameketi, na taratibu raisi Godwin akampa mkono Eddy kama salam, aliye utazama pasipo kuupokea.
==>ITAENDELEA...
Usikose kufuatilia sehemu inayofuata kupitia ubuyublog.com
Usikose kufuatilia sehemu inayofuata kupitia ubuyublog.com
Post your Comment