Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » TANGA RAHA- Sehemu ya Ishirini na Tatu ( 23 )

TANGA RAHA- Sehemu ya Ishirini na Tatu ( 23 )

Written By Bigie on Wednesday, March 7, 2018 | 12:45:00 PM

AGE………………18+
WRITER…………EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA
Mchungaji akazidisha sauti ya kuomba na kila anvyozidi kuomba ndivyo jinsi hali ya hewa ikazidi kubadilika ndani ya nyumba hadi ikafikia hatua nikaanza kuogopa.Upepo mkali unaokwenda mithili ya kimbuka kikali ukaanza kuzunguka sebleni na baadhi ya vitu vikaanza kuanguka chini ikiwemo vyombo vilivyopo ndani ya kabati.Nikastukia nikamuona Joseph akirushwa na kupiga ukutani na akatulia kimya na gafla nikamshugudia mchungaji akichomwa na kisu kilichoruka kutoka kabatini na kikatua kifuani kwake

ENDELEA
Mchungaji akakishika kishu kilicho mchoma na kukichomoa na kuzidi kuomba huku akiiongeza sauti ya juu huku akiliitaja jina la Yesu kristo.Miale ya radi na kurumo ikanza kupiga maeneo ya dari na kusababisa nilale chini kwa woga ila mchungaji hakulala chini na akazidi kuomba na taratibu na mimi nikajikuta nikiisema
 
“SHINDWA KATIKA JINA LA YESU KRISTO”
Nikaendelea kurudia rudia maneno hao mara gafla nikajikuta nikinyamaza baada ya Olvia Hitler kusimama kwenye moja ya kona huku akiwa amevalia nguo nyekundu na sura yake ikiwa imejawa na hasira kali sana kiasi cha macho yake kutoa mwanga mkali
“Wewe pepo unayetaka kuchukua watu wa bwana leo hii ndio mwisho wako nakufunika na kukurudisha kuzimu katika jina la YESU KRISTO wa nadhareti TOOKKKKAAAAAAAAAAAAAAA”
Olvia Hitler akayumba kidogo akionekana kama ametetemeshwa kwa maneno hayo ila akanitazama kwa macho makali na kuninyooshea mkono na kujikuta nikikabwa shingo na kitu nisicho kiona na taratibu nikaanza kunyanyuliwa kwenda juu.Mchungaji akaunyoosha mkono wake mmoja kwangu huku akiomba kwa nguvu na kujikuta nikianguka chini na gafla Olvia akapotea na hali ya ndani ikaanza kutulia na baada ya muda ikarudi katika hali ya kawaida ila vitu vingi vimechanguka na kukaa katika sehemu tofauti na nilivyokuwa nimevipanga
 
Mchungaji akasogea taratibu na kukaa kwenye sofa huku jasho jingi likimwagika na nikaonda shati lake likilowana na damu
“Mchungaji umeumia hapo kwenye kifua”
“Hakuna tabu ni jeraa dogo ila tafuta maji na chumvi unilete hapa”
Nikatoka kiwoga woga na kwenda jikoni na kuanza kuitafuta  chumvi na baada ya muda nikaipata kisha nikaweka maji kwenye kikombe na kurudi sembeni.Mchungaji akavichanganya kwa pamoja maji na chumvi kiasi akaviombea na kujipaka kwenye jeraha lake na kuifanya damu kuacha kutoka.Akasimama na kumshika Joseph kichwani na kuanza kumuombea taratibu hadi Joseph akapia chafya na kunyanyuka.

Akamfwata Mwajuma na kumtazama kwa muda kisha akamnyooshea mkono na kuanza kumuombea na gafla Mwajuma akaanza kujikunja kunja mithili ya nyoka anaye tambaa.Mchunagaji akazidi kuomba na baada ya muda Mwajuma akaanza kukoroma huku mapovu yakianza kumwagika mdomoni hadi ikafikia hatua akaanza kutoa vitu vyeusi mdomoni zikiwemo irizi mbili kubwa.Nikabaki nikashangaa kwani kwenye maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hicho kikitoka mdomoni mwa wa mtu.Mwajuma akatulia na baada ya muda akakaa kitako huku akihema akionekana amechoka sana
 
“Unajisikiaje binti?”
“Vizuri”
“Nyanyuka na ukae kwenye kiti”
Mwajuma akanyanyuka na kukaa kwenye kochi huku akiwa anashangaa shangaa
“Bnti unaitwa nani?”
“Anaitwa Mwajuma”
“Ahaa Mwajuma hali yako inaendeleaje?”
“Salama tu nipo wapi?”
“Mimi ni Eddy umenikumbuka?”
“Ndio nakukumbuka mbona nipo hivi baibui langu lipo wapi?”
Nikatizama tizama chini na kuliona baibui la Mwajuma nikaliokota na kumpa akalivaa na kisha mchungaji akamuoba aende bafuni akaoge.Nikamuonyesha Mwajuma bafu la kuoga  na nikamuonyesha na chumba changu kama atatoka bafuni aweze kuingia kupaka japo mafuna na nikampa na taulo langu kisha nikarudi sebleni na kukaa kwenye sofa moja wapo lililopo sebleni kwangu
 
“Kijana kwanza napenda kulijua jina loko?”
“Mimi ninaitwa Eddy Praygod”
“Unajina zuri..”
“Asante mchungaji”
“Amini Mungu yupo na shetani huwa hana nafasi katikati ya watu wa Mungu,Pale mwanzoni Shetani aliweza kuyateka maisha yako na kuyachukua na kuyafanya ni maisha ya ajabu....Ila kwa sasa ninakuomba umpokee Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako”
“Mchungaji mimi nipo tayari yaani nimechoka na haya matatizo humu ndani?”
“Hii nyumba niya kwako?”
“Hapna nimepanga tuu”
“Ahaa inabidi sisi tuondoke na kesho nitakuja na wana maombi kuifanyia maombi na kuvunja ngome ya shetani iliyokuwa imejegwa humu ndani kwako”
“Ngoja kwanza mchungaji ina maada bado haya madudu yamo humu ndani?”
“Hapna ila kuna utawala wa Malaika wa bwana ila kunahitajika maombi ya nguvu kiasi kwamba tuweze kuteketeza kila lililo zao la shetani humu ndani”
 
“Mmmmm.....”
“Mbona unawasi wasi sana?”
“Yaani leo siwezi kulala humu ndani naogopa sana mchungaji”
“Ndugu ninakuomba ulale ndani ya nyumba yako na hakuna chochote kibaya kitakacho tokea na roho wa bwana atakufunika”
“Mchungaji ninahisi unipendi mimi ninaona twende nikalele kwako hadi kesho tutakapo rudi na hao wana maombi wako ndio na  mimi nirudi humu nani”
“Basi kwa hilo hakuna shida”
Nikaingia ndani kwangu na kuanza kuvua nguo na nikabaki kama nilivyo zaliwa na kuanzakutafuta nguo ya kuvaa kabatini na gafla nikastukia mlango ukifunguliwa na Mwajuma akaingia hukua akiwa amejifunga taulo kifuni na baada ya kuniona tukabaki tukiwa tumetazamana na nikalishuhudia taulo alilo jifunga Mwajuma lilianguka chini na akabaki kama alivyo zaliwa na kuanza kupiga hatua za kunifwata sehemu niliyo simama.
 
“Mwajuma nini unafanya?”
“Unajua ni nini nataka”
“Ila mwajuma hao watumishi wa Mungu wapo hapo sebleni huoni kama watastukia”
“Ila wao pia si wana wake zao na mimi nataka kuwa mke wako”
“Mwajuma sio kirahisi kama unavyo dhania”
Mwajuma akanishika kiuno na kunivutia kwake kisha akaupeleka mkono mmoja kwenye kiko yangu na kuanza kuichezea chezea kiasi kwamba nikajikuta nikianza kulainika na kujikuta na kianza kumshika makalio yake makubwa na kuanza kuyatomasa kwa vidole vyangu vilaini kiasi kwamba Mwajuma akazidisha kasi ya kuichua koki yangu.
Mwajuma akanigandamiza kwenye kabati nakuendelea kufanya anacho kufanya kisha akaanza kushuka taratibu na kuanza kuinyonya kiko yangu huku mikono yangu ikiwa imemshika nywele zake ndefu kiasi
 
“Eeeh mola wee sijui ni lini nitaacha hii dhambi”
Nilijisemea kimoyo moyo na kumnyanyua Mwajuma na kumuweka kitandani na kuanza kuichezea ikulu yake kwa muda kisha nikakumbuka malango sijaufunga na funguo umerudishiwa tu.Nikataka kunyanyuka ila Mwajuma akanizuia na nikajikuta nikirudi kitandani na  kuendelea na shuhuli ya kupeana mambo huku mikono yangu nikimziba mdomo Mwajuma asipige kelele hadi mchungaji na Joseph wasisikie.Kusema ukweli Mwajuma anajua kukitawala kitanda kwani kila aina ya mikao aliweza kuniwekea na kujikuta nikimaliza mechi haraka
“Eddy tuendelee”
“Mmmmm tufanye siku nyingine”
“Kwa nini wakati leo upo kwako?”
“Wewe elewa ilo sawa”
“Sawa ila bado ninahamu na wewe”
“Mmmm wewe vaa nguo zako uende sebleni ukanisubirie”
“Basi ngoja nikaoge tena”
 
“Ahaaa wewe vaa utakwenda kuoga kwenu”
Tulizungumza kwa sauti ya chini ambayo si rahisi kwa mtu wanje kuweza kusikia,Mwajuma akavaa nguo zake na kujipara vizuri na kutoka ndani ya chumba changu,Nikajifunga taulo na kuingia bafuni nikaoga haraka na kurudi chumbani kwangu nakuvaa nguo zangu na kurudi sebleni na kumkuta mchungaji akimuhoji hoji maswali Mwajuma
“Mchungaji nipo tayari sasa”
“Sawa tuondokeni”
Tukatoka nje ya nyumba na nikaifunga nyumba yangu na sote tukaingia kwenye gari na safari hii Joseph akawa ndio dereva na tukaelekea hadi nyumbani kwa kina Mwajuma na kuwakuta wazazi wake na kama alivyo nieleza mwazoni kwamba wazazi wake ni wazee sana ndivyo kweli tulivyo wakuta.Nikatoa pesa kiasi na kumkabidhi na tukaahidi kurudi siku inayofwata.Tukafika kweye jumba la mchungaji lililopo maeneo ya Sahare na nikakuta baadhi ya watu ambao nahisi ni waumini wa kanisa la mchungaji huyo ambaye hadi sasa hivi sijajua anasalisha kanisa gani
 
Watumishi wake tulio wakuta wakaanza kumsalimia huku wakipeana mikono kisha mimi na Joseph tukaingia ndani na kumkuta dada wa makamo na kwaharaka haraka miaka yake inaweza kuwa 31-35 akiwa amealia vitenge vya gharama na cheni za dhahabu huku mkononi mwake akiwa ameshika biblia
“Mama mchungaji bwana Yesu asifiwe?”
“Amein za huko mulipo toka”
“Ni kwema ila sio sana”
“Kaka bwana Yesu asifiwe”
Mama mchungaji alizungumza huku akinishika mkono na mimi nikaitikia kama yeye alivyo muitikia Joseph kisha tukakaa kweye sofa za dhamani sana na ukubwa wa jumba hili ninaufananisha na majumba ya matajiri wa Nigeria
“Haya Jose kuna yapi yaliyo wakuta huko”
 
“Mama mchungaji ya huko ni makubwa kwa maana tumetoka kuvunja ngome ya shetani yaani mtu unaweza ukasema ni filamu ya kuigiza ila leo ndio nimezidi kuamini kama shetani yupo duniani na anafanya kazi”
“Ohhh kila siku huwa vita yetu sisi si ya wili wa damu na nyama ila vita vyetu ni vya roho na shetani siku zote huwa anazunguka zunguka ili atafute mtu ammeze”
“Kweli mama mchungaji ndugu yetu Eddy hapa tulikutana naye maeneo ya bichi kule Raskazoni basi akatuomba twende naye kwake na kufika kulikuwa na nguvu fulani ya shetani ambayo tulianza kusali na baba mchungaji ila mimi nilijistukia nikirushwa na kutupwa chini na sikujua kilicho endelea ila nimekuja kuzinduka nikajikuta sehemu nzima imechanguka changuka”
“Ohhh poleni sana ila Jose siku zote huwa ninakuambia uwe unasali hadi mwisho wa ibada ila wewe kabla hatujamaliza muda wa kusali unachomoka na kwenda kulala leo naona umepata changamoto”
 
“Kweli ni changamoto....Ndugu yangu Eddy huyu ndio mke wa mchungaji anaitwa mama Yudia”
“Nashukuru kukufahamu mama mchungaji”
“Hata mimi nashukuru kukufahamu karibu,Jisikie upo nyumbani na sehemu takatifu yenye ulinzi wa bwana”
“Nashukuru”
“Mama mama....Mbona mwalimu mwenyewe haji?”
Tulisikia sauti ya msichana ikitokea gorofani na sote tukajikuta tukitazama juu na nikamuona binti mmoja mrefu na mwenye umbo la kujazia kiasi kwamba anasifa na vigezo vyote vya kuitwa msichana mrembo akishuka kwenye ngazi huku akiwa amevalia bukta fupi na tisheti kuwa
“Nimepigia simu yake amesema atakuja”
“Saa ngapi mama wakati hadi sasa hivi inaenda saa moja hii hajafika kama hataki na yeye aseme”
Nikahisi msichana huyu ndio atakuwa ni Yudia kwani anafanana sana na mama yake,Akakaa kwenye kochi alilo kaa mama yeka huku akizichomeka earphone zake masikioni akisikiliza mziki kupitia simu yake kubwa screen touch
 
“Hembu usinilalie hapa nilipo nimechoka kama nini?”
“Jamani mama nakulalia kidogo hembu weka paja vizuri”
“Yudia nitakuchapa hembu niondolee uvivu wako hapa”
“Mama akikulalia Junio wala haumchapi ila nikikulalia mimi unaongea”
“Sasa wewe uanjifananisha na Junio mwenzako yeye ni dogo wewe jidada lizima la form four unanilalia lalia”
Yudia akanyanuyka na kukaa kwenye kochi hukua akiendelea kuminya minya simu yake
“Yudia mbona hujawasalimia kaka zako”
“Shikamoo kaka Jose huyo mwengine mimi wala simjui”
“Kisa humjui ndio humsalimii?”
“Sasa mama nitamsalimiaje mtu ambeye mimi simjui”
Yudia alizungumza huku akinitazama kwa macho ya dharau ikanibidi nikae kimya kwa maana watoto wengi wanaoishi kwenye mazingira mazuri kama haya ya mchungaji huwa mara nyingi hudekezwa na wazazi wao kwa madai wanaishi maisha ya kizungu
 
“Junio mwenzako yupo wapi?”
“Amelala ndani kwake?”
“Anaumwa?”
“Wewe si unakijua toto lako la mwisho kila likitoka shule inakwenda kulala”
“Samahani jamani kwa kuyakatisha mazungumzo yetu”
‘Hakuna shida mama mchungaji”
“Eheee kaka Eddy ilikuwaje?”
Nikajikoholesha kidogo na kuanza kuzungumza kwa sauti ya upole
“Kunanavitu vilikuwa vina nisumbua nyumbani kwangu basi leo mchungaji alipo viombea nahisi vitakuwa vimekwisha”
“Mama mama”
“Nini wewe?”
“Kuna watu wanapenda sana kuiga majina ya watu?”
“Hembu niachie upuuzi wako?”
“Kweli mama kuna watu wanapenda sana kuchukua chukua majina ya watu”
 
“Nani aliye chukua majina ya watu?”
“Si huyo kaka hapo eti na yeye anajiita EDDY”
“Kwani mtu akiitwa Eddy kuna dhambi?”
“Sio dhambi ila ameliiga jina la kaka mmoja hivi Facebook anaandika story naye anaitwa Eddy....Yaani nikoboko”
“Hembu nitolee upuuzi wako na hayo mafacebook yako ndio maana unafeli darasani”
“Sasa mama kufeli darasani ndio kumechangiwa na facebook?”
“Ndio kila saa ni simu na wewe sijui ni muda gani utapata muda wa kushika daftari na kusoma”
“Nitasoma”
“Samahani mdogo wangu Yudia kwani ni masomo gani yanakusumbua darasani?”
“Biology,Math na Physics”
“Ugumu wa hayo masomo upo wapi?”
“Mmmm waalimu wetu wakifundisha wala siwaelewi wanakazi ya kutufokea fokea na kusema tutafeli”
 
“Basi kama huto jali nitakufundisha”
“Mmmm mtu mwenyewe mbona unaonekana hujui chochote sijui haka kama umefika form four”
“Wewe Yudia acha dharau.....Kwanza nyanyuka uende chumbani kwako sitaki fujo au umfwate huyo baba yako huko nje”
“Sawa najua mama siku hizi hunipendi”
Yudia akasimama kwa hasira na kuondoka na kupandisha nagazi za kuelekea gorofani huku akizungumza maneno ya chini chini
Tukaendelea na mazungumzo huku na nikaanza kumuadisia Mama mchungaji kila kitu kilicho tokea na akabaki akinipa pole kwa yale yaliyonikuta.Mchungajia ajaingia huku akionekana kuchoka na moja kwa moja akaanza kupandisha ngazi na mke wake akawa anamfwata kwa nyuma nikabaki na Joseph
 
“Hivi mchungaji ana watoto wangapi?”
“Wawili,wa kwanza ni huyu wa kike na wapili ndio huyo mdogo wa kiume amelala”
“Ahaa anafamilia ndogo na nzuri?”
“Ndio hawa ndio watu wanaojua kupanga maisha...Sema maisha yake mengi mchungaji ameishi Marekani”
Tukaendelea kuzungumza zungumza na Joseph hadi muda wa chakula ukawadia na tukaalikwa kwenye meza ya chakula na tukajumuika na familia nzima ya mchungaji pamoja na wafanyakazi wake wa ndani wapatao wanne
“Jamani huyu ni kaka yenu anaitwa Eddy na atakuwa nasi leo hadi kesho kwahiyo ninaomba mumuheshimu kama munavyo niheshimu mimi.Haswa wewe Yudia nimepata malalamiko yako kutoka kwa mama yako kuwa umeonyesha tabia chafu mbele ya Eddy sasa sitaki hilo swala ljirudie tena”
“Lakini baba mimi mtu simjui ila mama ananilazimisha niweze kumsalimia”
 
“Sawa ila sitaki hiyo tabia mbaya ijitokeze tena la sivyo nitakurudisha shule za bodi au nikupeleke kijijini kwa bibi yako ukaishi huku”
Yudia akakaa kimya na kunitazama kwa jicho kali la hasira kisha akaendelea kula huku sura yake akiwa ametazama chini
“Kaka Eddy unafanya kazi gani?”
Junio aliniuliza swali na kunifanya nitabasamu kisha nikamjibu kwa sauti ya upole
“Mimi ni mwalimu wa sekondari”
“Waoo unafundisha masomo gani?”
“Physics.Mathe,Biology na Chemestry”
“Alafu leo nimepewa homework ya Mathematics alafu sijaifanya hadi sasa hivi sielewi elewi na kesho madaftari yanahitajika”
 
“Upo kidato cha ngapi?’
“Form one”
“Usijali nitakuelekeza”
 Tukaendelea kula na baada ya kumaliza watu waote tukakusanyika sebelini na mama mchungaji akasoma neno kutoka kwenye biblia na kuanza kututufundisha kama anahubiri kanisani kisha baaya ya kumaliza tukaimba nyimbo kadhaa na mchungaji akaongoza sala ya kulalia na baada ya kumaliza akatuaga na kwenda chumbani kwake kulala.Junio akaniomba nimsubiri aniletee vitabu na madaftari yake nimeulekeze
”Jose utamuonyesha Eddy chumba cha kulala sasa atachagua alale gporofani au vyumba vya chini”
“Sawa mama”
Mama mchungajia akaondoka na kutuacha tukiendelea kutazama Tv na chaneli hito iaonyeshamahubiri ya mchungaji maarufu kutoka Nigeria TB.Joshu
“Yaani huyu jamaa anakarama ya Mungu kwa maana kile anacho kitabiri ndicho kinacho kuwa”
 
“Kweli”
“Jose hembu badilisha chaneli na chomeka huo waya wa king’amuzi cha DSTV”
Yudia alizungumza huku akijirusha kwenye kochi akitokea jikoni huku mkononi kwake akiwa amaeshika tunda akilila na kulitafuna kwa fujo kiasi kwamba anakera
“Kidogo ngoja tumalizie hichi kipande cha mahubiri”
“Hutaki au?”
“Ila Yudia huko ndani kwako pia si una DSTV”
“Leo nimejisikia kuangalia hapa sebleni”
Joseph hakutaka kufanya ubishi zaidi ya kunyanyuka na kwenda kubadilisha nyaya za king’amuzi na kumuwekea Yudia kitua anacho kitaka.
“Kaka njoo nikuonyeshe chumba cha kulala”
Nikaondoka na Joseph na akaanza kunionyesha vyumba vya chini na nikaipenda kimoja ambacho kipo mwisho wa kordo na kimekaa vizuri.
 
“Nitalala humu”
“Sawa....bafu na choo vyote vipo humu humu ndani?”
“Sawa wewe unalala wapi?”
“Mimi chumba changu kipo juu gorofani”
Nikakichunguza chumba vizuri na kurudi sebleni na kumkuta Junio akinisubiri akiwa na vitabu vyake.Akanionyesha chumba cha kusome na sote tukaingia ndani na nikakuta vitabu vingi vikiwa ndani ya chumba hicho ambacho kinafanana na maktaba.Tukakaa kwenye viti na Junio akaweka vitubu vyake kwenye meza na nikaanza kumfundisha kitu kimoja baada ya kingine.Tangu niwahi kufundisha sikuwahi kukutana na mwanafunzi muelewa kwa haraka kama Junio kwa maana kila ninacho mfundisha anakielewa haraka na nikimpa maswali hujibu vizuri kama nilivyo mfundiha
Yudia akaingia huku na yeye akiwa na madaftari yake ila simu yake ameifungulia mziki kiasi cha kunifanya nisitishe zoezi la kumfundisha Junio na sote tukabaki tukimtazama
“Lakini dada Yudia mbona unamakusudi sana?”
“Na wewe koma”
“Sio nikome,wewe si ulikuwa sebeli ukitazama Tv sasa huku umefwata nini?”
 
“Kwani siku zote nikiingia humu huwa ninafwata nini?”
“Tangu lini wewe umekuja kusoa huku muda kama huu”
“Ndio leo basi na mimi nimekuja kusoma”
“Haya basi zima simu yako”
“Ili iweje?”
“Wewe si unaona jinsi unavyo tupigia makelele”
“Kusoma bila mziki mimi siwezi”
“Muangalie yale manywele yake kama vile pepo linalotoka kaburini sijui kwa nini baba wewe hakuombei”
“Alafu wewe Junio uaniingilia kwenye anga zangu ngoja nikuonyeshe”
Yudia akasimama kwa hasira huku akimfwata Junio na nikasimama katikati yao na kumshika Yudia asimfwate Junio.Junio akakusanya vitabu na madaftari yake na kuanza kupiga hatua za kwenda nje huku akimzomea Yudia na kumfanya apandishe hasira zaidi na akaanza kutumia nguvu kujitoa mikononi mwangu na kwabati mbaya nikajikuta mikono yangu ikikutana kifuani mwa Yudia na kuyashika maziwa yake madogo kiasi na kumfanya anaze kulegea.
 
 
“Alafu wewe ndio chanzo cha kumpa kiburi Junio”
“Ila wewe ndio mchokozi”
“Unataka kuuona uchokozi wangu si ndio?”
“Hapana”
Nikastukia Yaudia akainisukuma na kuniegemeza kweye ukuta uliochomekwa vitabu na kuanza kunifungua vifungo vya shati langu
“Wewe mtoto unataka nini?”
“Tulia la sivyo ninapiga kelele kuwa unataka kunibaka”
“Wewe piga ila sipo tayari kufanya unachotaka kufanya”
“Mamaaa”
Yudia akapiga kelele  na kunifanya nimzibe mdomo huku nikiwa ninamshangaa.Akaifungua zipu ya suruali yangu na kabla hajauingiza mkono kwenye suruali yangu tukasikia sauti ya mama yake ikimuita huku akija sehemu ya chumba hichi tulichopo na kunifanya nianze kutetemeka

 ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts